Ushirikina Ushirikina Ushirikina!!

Una maana kwa akina "mama niwekee" tunakula vibaya kuliko mikojo na damu za period??!!! Nadhani wanaume ndiyo tunakuwa waathirika zaidi, upate dozi za beki 3 halafu ongezea na dozi za waifu kama naye ni mshirikina. Ukitoka hapo kichwa kimechanganyikiwa kabisa.

Usisahau small houses
 
Mbona wanafanya sana na wengi wao ni wasichana wa Iringa na Bukoba. Wanafanya ndumba ili kuiba baba mwenye nyumba. Kuna kipindi hapa bongo hii ilivuma sana na watu wakaanza fukuza wasichana wa Iringa na BK.
Mungu wangu, nadhani tayari nilishakula "kitu" maana beki 3 wangu ni wa BK.
 
Back
Top Bottom