mkubwa simba nifanyie the needful niipate tafadhaliYeah ni kwel hyo clip ninayo ya hiyo dada alie kuwa akilala na maiti nafikir ni frm Kenya according to her pronunciation
Hatari sana aisee wachunguzwe kweli na mm uwa nasikia kuhusu hayo mambo
Nilishawahi kuletewa dili ya kuuza maiti kwa ajili ya kwenda kufanyiwa ushirikina ili mgonjwa aliyekuwa hospitali afe... .jus imagine...!Jamii iliuojaa ushirikina badala ya shule ni hasara tupu.
Mshana jr acha kuamini ushirikina.. Njoo katika uislamu umjue Mungu wa kweli. You still have a chance. Your life.your choice.
Hakika ndio maana hakuna kikomo katika kumuomba Mungu, na ameruhusu tumuombe kwa kuwa anajua yule ibilisi alimtupa duniani......nae akaapa kuangamiza kizazi hiki cha binadamuHapa kuna mengi yaliyojificha yanayopelekea hali hiyo mahospitalini
1) kutokana na kuwa ni sehemu yenye mazingira rafiki kwa wachawi na majini kwa ujumla (kama vile damu, viungo vya mwili nk)
2) kumekuwa pia makao ya viumbe tofauti pia kwa kufurahia vyakula vinavyopatikana hapo
3) wengine wamelazwa hospital ila maradhi yao ni ya nguvu za giza na mda mwengine wale wachawi/majini waliodhamiria kumdhuru humfuata huko huko kummalizia
Hizo ni sababu zinazopelekea kuingiliana kwa mambo ya nguvu za giza na tiba ya hospital.
Wakati mwengine mgonjwa anaweza kuwa amechangamka vizuri na yupo karibu na kuruhusiwa, ila ghafla anaweza kuzidiwa hadi wauguzi wasielewe amepatwa na nini........ila katika anga la hospital mara nyingi hutawala nguvu za kiroho ambazo lengo ni kuharibu iwe kwa kutumwa au kukusudia tu.
KWENDA NA MADAWA NDIYO SULUHU?
Hapana, Mungu ndiyo Muweza wa yote hivyo tumuombe kwa nia atuondolee mitihani.
Niliwahi kusikia dada mmoja nadhani kutoka Kenya alikuwa anahadithia yeye alipata utajiri wake kwa kulala na maiti wa kiume mochwari...Imagine na akawa anaadithia kwa ujasiri kabisa kwamba kabla mwili wa maiti haujapoa anapigiwa simu na wale ma-attendant wa mochwari dada anaenda kudo nao...
Mkuu, kuna mama ntilie mmoja alikuwa akiuza sana chakula kuliko wenzake wote, yaani watu wanamiminika na mpaka amalize yeye ndio wengine waanze kuuza.Na siku zote alipo Mungu shetani hakosi
Haya mambo yapo sana hata viwiko vya binadamu hasa watoto, maji ya mochwari nk vinatumika sana na wauza vyakula kuvutia watejaMkuu, kuna mama ntilie mmoja alikuwa akiuza sana chakula kuliko wenzake wote, yaani watu wanamiminika na mpaka amalize yeye ndio wengine waanze kuuza.
Sasa juzi kuna mzee alienda pale kwa yule mama ila mama akakataa kumuuzia na kumwambie nenda kibanda cha pili, yule mzee akamwambia yule mama "acha mchezo wako," kisha mzee akaondoka na mwiko wa yule mama na kumwacha amepigwa na butwaa.
Baadae nilipokutana na yule mzee kwa kuwa namfahamu nikamuuliza maana ya mambo yale, akaniambia yule mama ni mwanga na anauzia watu michanga na vitu vingine vichafu pale......akasema ule mwiko aliouchukua sio mwiko bali ni fuvu la mtoto.
Mkuu inawezekana hii?
Duuu...!!!Hospital pana mambo khasa mortuary kuna kisa kilitokea kam miaka 8 nyuma huko kuna Meneja wa timu ya mpira alimsimulia jamaa yake walikwenda kwa mhanga kabal ya game matunge akawapa sharti la kuleta maiti ya mtoto.Jamaa wakaenda muhimbili na kufanikiwa kupata mzigo wao pesa ya usafiri jamaa kabana akadandia hiace na mzigo wakes katia ndani ya begi safari imeanza uzuri kufika mitaa ya sokota pana bimkubwa kapiga yowe pochi lake halioni na kashtukia baada ya konda kumdai nauli kukuru kakara ikaamulia ngoma iende polisi chang'ombe inspection ifanyike meneja akaanza kuiona jela ile goma linataka kukata kwenda polisi meneja kamuuliza bimku pochi yake.Barcelona iliku na shilingi ngapi?bimkubwa akajibu elfu 80 ndo ulikuwa mtaji wangu wa kukaanga samaki kisha akazidisha yow kuliko mwanzo.Meneja kujiokoa akampa bimkubwa mpunga wake na safari ikaendelea.
Ulikuwa msala kaka kwa watu tuliocheza mipira waqt uleeee kuna vitu vingi vya ajabu tulikutana navyo thanks to ALLAH alitulinda.Duuu...!!!
Nimekumbuka yule shabiki wa simba aliyefukiwa beach nusu mwili wakati jamaa wanacheza na yanga miaka ileeee. .. halafu simba wakashinda wakamsahau mshikaji wao kule beachUlikuwa msala kaka kwa watu tuliocheza mipira waqt uleeee kuna vitu vingi vya ajabu tulikutana navyo thanks to ALLAH alitulinda.
Hayo mamba kuna watu ukiwaambia hawawezi kukuelewa kuna watu wengi wamepigwa mzinga msimbazi road na moro road mtu anaambiwa avuke barabara akafukie upande wa pili akitizana kula na kushoto hauna gari ana pita hatoki tena huyoNimekumbuka yule shabiki wa simba aliyefukiwa beach nusu mwili wakati jamaa wanacheza na yanga miaka ileeee. .. halafu simba wakashinda wakamsahau mshikaji wao kule beach
Hebu iweke humu,eeeh mungu tunusuru na huu ushenzi.Halafu baadae umapewa K na uvinza unaenda kabisaYeah ni kwel hyo clip ninayo ya hiyo dada alie kuwa akilala na maiti nafikir ni frm Kenya according to her pronunciation
Hata mimi nasema tumechoka na kuongelea mambo ya ushirikina,inatia kinyaa wewe Mshana usiesikia kenge bluuuuuuu,.Ulitaka iwe Mara ngapi kwa mfano
Mshana.....vipi kuna MTU aliwahi kunipa story kuwa alifungwa kizazi kwa nguo yake ya ndani ....baada ya kuchukuliwa alafu ikaenda kufanyiwa mambo hakuwEza kabisa kupata mtoto...baadae akaenda kwenye kamati za ufundi ile chupi ikavutwa na kisha ikanyunyuziwa dawa na baadae anadai alipata mtoto...Hiyo ni catalyst muhimu kwenye ushirikina wa ndele na kutengeneza nuksi..Inategemea mlengwa anataka kutumia kwenye nini na anachanganya na dawa gani na ananuizia nini