Kuzini na mwanamke, au kufanya USHOGA, ni hatari Kwa maisha sana katika siku hizi za mwishoNzuri hii.
Thread ya Live Kutoka kuzimu- Rabbon iliangazia hili.
Kwamba punyeto husababisha watoto wa kichawi kuumbwa, nusu mtu nusu Pepo,nusu mtu nusu shetani nk nk.
Kuzini na mwanamke, au kufanya USHOGA, ni hatari Kwa maisha sana katika siku hizi za mwisho.
Tubaki njia kuu.
Nifafanulie japo nimechelewa mno kuiona hiiMkuu Mshana, Shalom.
Samahani.Kwa mtu aliyeharibiwa maisha,aharibikiwe na asifanikiwe kwa namna yoyote, unaweza kumsaidia mtu Huyo na akarudi katika hali yake ya kawaida kimafanikio?
Mkuu@Mr Nzoka umepita mlemle nilimopita mimi....Kuna mchepuko.....ulinieletea matatizo makubwa....kitu sikujua kumbe ile Familia niyakichawi Completely...
.Anaishi MKOA ikatokea siku nimekwenda kulala nae nikataka kuvaa jezi ikashindikana nikajipa Moyo nitamwagia nje nahiyo nilijitahidi lkn aliyapata matone akayatumbukiza huko.....baada km ya mwezi akaniambia anamimba yangu lkn nisihusike kwa chochote...Ninavyokwambia dogo sijawahi kumuona kwa macho naishia kumuona kwa picha tens baada ya kutumia mbinu zaKiitejensia......Kuanzia pale niliharibikiwa sana...Nakitu ambacho nikawa sijui unapokuwa umezaa kwenye Familia yakichawi wakitaka kukuroga hawasumbuki naww wanamalizana na dogo hiyo Kitu imenitaabisha sana hadi nilipopata ufumbuzi wa hiyo kitu sina Lugha nzuri yakueleza ndiomaana humu zinapokuja mada zinazohusu mambo ya ulimwengu wa Giza then mtu anapinga mimi nadhani huyo ni mchawi hapendi wengine wajue siri zao
Kaka unajua kwa uchache nilichopitia n8takutafuta nikumalizie mkasa ulivyokuwa shortly nilishazikwa kaka tena nilizikwa na jeneza dah kaka uchawi upo hawa kenge hawa Sio wazuriHahahahaπππ
Mkuu naomba kujua vipi ukila tope la mwanamke( utakuww umenielewa hapa) nayo inahesabika kama umefanya USHOGA????Kuzini na mwanamke, au kufanya USHOGA, ni hatari Kwa maisha sana katika siku hizi za mwisho
Tope ni mojawapo Kati ya dhambi chafu kabisa ambayo hata shetani huikimbia! Lakini kwa dunia ya leo ni nani msafi?Mkuu naomba kujua vipi ukila tope la mwanamke( utakuww umenielewa hapa) nayo inahesabika kama umefanya USHOGA????
Nitakucheki whatsapp kakaDah pole sana hata hivyo tumepotezana muda sasa
Huyu mtu alilogwa na baba yake mzazi ili aharibikiwe kabisa kimaisha na ikibidi afe kabisa,ila Mungu akalinda uhai wake, lakini kimaisha/kiuchumi ameharibikiwa sana .Alipoteza kazi nzuri,marafiki wazuri wote,uwezo aliokuwa nao kabla,heshima pamoja na upendo.Nifafanulie japo nimechelewa mno kuiona hii
Balaa sana hizi mambo...