PostGE2025 Ushindi wa Kishindo lakini Kimya Kimetawala, Huko kwenu vipi?

PostGE2025 Ushindi wa Kishindo lakini Kimya Kimetawala, Huko kwenu vipi?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

AVANTES

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2014
Posts
389
Reaction score
340
Baada ya matokeo kutangazwa, tofauti na ilivyozoeleka walioshinda huwa, wanasherehekea ushindi wao, tena wa 97.6% katika historia ya nchi yetu ni ushindi mkubwa kuwahi kutokea tangu tuanze kupiga kura.

Lakini huku kwetu hali imekuwa tofauti, hakuna tofauti kati ya aliyeshinda na aliyeshindwa, tena aliyeshinda anaishi kwa kificho, bendera zote zimeshushwa, na hata ukimuuliza vipi mmeshinda anakuwa mkalii, sasa sijui huu ushindi wa kishindo unaongelewa mara kwa mara na hao walioshinda ni upiiiii?
 
Ukitoka kuzini na mke wa mtu hata kama umeowa unakuwa huna amani
 
Back
Top Bottom