Ushindi kwa CCM Igunga njia nyeupe

Makupa

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
5,030
2,553
Kwa mtanzania yeyote aliyebahatika kufika Igunga kwa siku za hivi karibuni atakuwa amegundua ya kwamba mgombea wa CCM ni kama ameshashinda jimbo hilo hata kabla ya kampeni kuanza

Kwa mtanzania yeyote aliyebahatika kufika Igunga kwa siku za hivi karibuni atakuwa amegundua ya kwamba mgombea wa CCM ni kama ameshashinda jimbo hilo hata kabla ya kampeni kuanza

Tumeshajua unachotaka!

The upcoming Igunga mini election to fill a seat vacated by Mr Aziz is a barometer for the 2015 presidential elections.
If CCM retains the Igunga seat, similarly it will retain the presidency in 2015

Tumeshajua mmeshaanza uchakachuaji wa kura. Umetangulia kuandika hivyo ili mkifanya wezi wenu wa kura ili topiki hiyo iharalishe wizi huo.

Kwa mtanzania yeyote aliyebahatika kufika Igunga kwa siku za hivi karibuni atakuwa amegundua ya kwamba mgombea wa CCM ni kama ameshashinda jimbo hilo hata kabla ya kampeni kuanza

Kumbe ni wewe Makupa siku nyingi sijakusikia ulikwenda kuvua gamba wapi? Umeibukia Igunga we subiri uadhirike.

Hivi sinovate na redet mtaenda nao igunga kutoa dira ya uchakachuaji?

Inatakiwa mshindwe Igunga, mkagalagazwe Bariadi kwa Chenge na mwishowe mpulizwe Monduli ili muonje radha ya matunda ya unafiki wa JK

umecheka kwani hizo kura zenu cjiu mtazipitishia wapi?
tunajua mnazo tayari ila mlango wa kuziingiza ndo shida
mnajipa moyo tuu kihalali jimbo ni la cdm
kwa wizi wenu jidanganyeni kwani mtz wa leo sio yule miaaka ilopita

pole.

Kumbe ni wewe Makupa siku nyingi sijakusikia ulikwenda kuvua gamba wapi? Umeibukia Igunga we subiri uadhirike.

nipo na kwa taarifa nimerudi kwa kasi ya ajabu

nipo na kwa taarifa nimerudi kwa kasi ya ajabu

Subiri uipate siumeona post kuhusu Rostam akifikishwa mahakamani jimbo linachukuliwa na chadema kiulaini.

Back
Top Bottom