this guy is calling himself NISHER but his name ni Nick David mtoto wa Mh. Mstahiki, Nabii GeorDavie Kasambale (thats the way he calls himself) Nabii na kiongozi wa Ngurumo ya Upako kisongo Arusha. ni mwimbaji wa gospel ktk style ya RnB na crunk pia ni muongozaji na mtayarishaji wa muziki wa gospel ktk kanisa la babaake. unawaza pia msearch kwa FB kwa jina la NISHER