Hainaga ushemeji dunia ya sasa aiseHahahahaaa, Vipi ushemeji upo ama haupo.?
Namkubali sana Dogo S. Kide.
Kipaji cha utunzi wa mashairi anacho [licha ya kwamba hii singeli mimi bado sijaikubali, nadhani ni passing fad tu].
Kiranga come see your boy.
Dogo anairudisha jamii kwenye maadili.Namkubali sana Dogo S. Kide.
Kipaji cha utunzi wa mashairi anacho [licha ya kwamba hii singeli mimi bado sijaikubali, nadhani ni passing fad tu].
Kiranga come see your boy.
Hahaha! Nlikua sijaionaga hii,nimeipendaHayaaa, wale mliokuwa mnachochea na kuabudu kaulimbiu ya hainaga ushemeji nyie mnakula tuu. Huu ni ujumbe kwenu,
Hahahhaaaa, Hii miziki ni sooo funny
[HASHTAG]#Singeli[/HASHTAG]