Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,379
- 56,095
- Thread starter
- #21
ni ngumu kwa sababu ananitegemea 100% yaani nikisema nimtoe huko aendako shule itamshinda kabisa hakuna wasimamizi..kwa nn huyo binti unayeishi nae usimuhamishe mana yy ndio tatizo na vipi ukitumia nafasi yako kama mama kuwa mkali kwa huyo binti ili aachane na huyo kijana
Pole sana nimevuta picha tu mnavyoishi na hao majirani.
acha tu naongea mpk basi wenzangu nikiongea wao wanacheka au kuniona mnoko