Waswahili ni wastaarabu! Msihusishe mambo ya hovyo na uswahili. Hiyo familia ya jirani yake na Geniveros si wastaarabu na ni watu wa hovyo. Kimsingi wanajifanya wazungu kuliko wazungu wenyewe na ndio maana uhuru wa watoto wao kwenye mahusiano umepitiliza kiwango cha tamaduni ya mtanzania wa kawaida. Kemea binti, muelekeze njia sahihi na madhara ya tabia anazoiga! Malezi kwenye maeneo ya mchanganyiko wa watu yana changamoto nyingi. Pole sana Geniveros!!!