ushawahi kutapeliwa????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ushawahi kutapeliwa?????

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by charminglady, Sep 29, 2012.

 1. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  Mu-hali gani wana chitchat. binafsi niko salama salimini.
  hivi ushawahi kutapeliwa? mie nshawahi tapeliwa sh. 400/= kwenye vile vibahatinasibu vya mchezo wa viberiti vitatu. wanachanganya then unachagua kipi kipo tupu. ukikosa unawalipa sh. 200. ukipata wanakupa sh. 200. sa mie nikakosa mara mbili nikawalipa sh.400/=. duh iliniuma enzi hizo miaka ya 90's sh.400/= kubwa kweli. . .
  vipi wewe ushawahi kutapeliwa????
   
 2. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,105
  Likes Received: 11,254
  Trophy Points: 280
  mim bado, nasubiri kwa hamu.
   
 3. v

  valid statement JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  nilishatapeliwa pale arusha bus stand.
  jamaa alikuja akanambia braza nna motorola L6 hapa nimeianja kwenye kosta, lete 50th nikupe!
  nkamwambia nakupa 20th, akasema lete, kumpa akanipa bahasha akasepa, ile kuingiza mkono ndani nakuta sabuni...dah nilinunua sabuni kwa sh 20th.
   
 4. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,320
  Trophy Points: 280
  Unamwonea bure! alipokuambia Motorola ungemuuliza ni simu au sabuni?...........Yeye alijua unahitaji sabuni
   
 5. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,320
  Trophy Points: 280
  Safi sana ndiyo ulikuwa unakomazwa hivyo (Tarime?)! Kuna vibaka pale ukibisha unakula kisu. Miye nilitapeliwa hapa JF na mtu kaniambia nimpatie bidhaa fulani hivi kutoka Dom kwa ahadi ya kunirudishia gharama ya kutuma kama 5000.....mpaka leo sijasikia simu yake na bahati mbaya na PM kaifungia vioo.......Ilikuwa March or April na sijamtafuta tena mpaka muda huu.
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Pole sana ila hapo kwenye (th) rekebisha
   
 7. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  duh, hongera!
   
 8. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,105
  Likes Received: 11,254
  Trophy Points: 280
  akhsante. Na wew pole.
   
 9. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  mh,pole kwa kununua sabuni kwa 20th!
   
 10. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #10
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Mi nilishatapeliwa sana na wadada mpaka nawaogopa...
   
 11. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #11
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  mkuu my lawyer, hapo anamaanisha 20 thousand. kaandika kwa kifupi teh teh! mambo ya .com hayooo. . .
   
 12. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #12
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  pole thana, chezeiya jf weye!
   
 13. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #13
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  wanakutapelije?
   
 14. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #14
  Sep 29, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Labda mpare! Kithethe mpaka kwenye kuandika,lol
   
 15. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #15
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  jamani anamaanisha thousand kaandika kwa kifupi, kama mtu anavyoandika sh. kwa kifupi
   
 16. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #16
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Tanaelewana vizuri na kulipa nalipa kabisa ila niienda kufungua bidhaa nakuta iko chini ya viwango nilivyolipia...
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Mie nimeshanusurika several times kutapeliwa. Simply kwa sababu im not such a risk taker na ndo chanzo cha umasikini wangu. But i also dont believe in hela za chap chap.
  Im still counting my lucky.
   
 18. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #18
  Sep 29, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,372
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Alifupisha THousands. Kwa hiyo TH. stands for thousand mr LAWYER.
   
 19. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #19
  Sep 29, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,372
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Mimi walinikomesha pale JOMO KENYATTA AIRPORT, mwezi wa tatu mwaka huu sitasahau! Narudi home from abroad late hours na hakuna bureau de change iliyo wazi; taxi driver aliyekuwa ananipeleka hotel mjini ili kesho nije na shuttle tz kaniambia anaenda.
   
 20. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #20
  Sep 29, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,372
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Kuchenji dukani/restaurant kaniacha garini na nilikuwa nimempa $200 takriban 320,000 za tz, hakurudi pamoja na kuwa nilishaweka my bags garini, alikuja mwingine na funguo akasema hamtambui huyo alonikimbia ikabidi nilipe upya. KUMBE WANAJUANA.....
   
Loading...