ushawahi kutapeliwa?????

Kuchenji dukani/restaurant kaniacha garini na nilikuwa nimempa $200 takriban 320,000 za tz, hakurudi pamoja na kuwa nilishaweka my bags garini, alikuja mwingine na funguo akasema hamtambui huyo alonikimbia ikabidi nilipe upya. KUMBE WANAJUANA.....

duh,pole mkuu. vipi kama ndo ilikuwa balance iliyopo?
 
Poleni nyie mliotapeliwa na na waswahili wenzenu!
Bora mie nilitapeliwa ma'nchi ya watu! Nilitapeliwa na wazungu!
"mbwa wa mfalme akifika uswahilini anakua mfalme wa mbwa wa uswazi "

teh teh, me cheka sana shem! btw vipi mkeo beibe nasty mbona kapotea sana?????
 
Last edited by a moderator:
Nishatapeliwa mara kibwena, na juzi tu nimetapeliwa kilo 3 na dada mfanyabiashara.
Nilitaka aniletee kompyuta kutoka China nikampa advance, mwezi wa 9 huu, kompyuta bado iko njiani.

hahaha, atakuwa ameipakia kwenye guta kama sio anakuja nayo ameibeba kichwani. Mpe mwaka hivi
 
hahaha, atakuwa ameipakia kwenye guta kama sio anakuja nayo ameibeba kichwani. Mpe mwaka hivi

ndo maana kila nikilala naiota kompyuta ina Ubuntu OS Version 12.04, afu skrinseva imeandikwa 'COMING SOON'
 
Mie nimeshanusurika several times kutapeliwa. Simply kwa sababu im not such a risk taker na ndo chanzo cha umasikini wangu. But i also dont believe in hela za chap chap.
Im still counting my lucky.

I love this post King'asti....ndo maana wewe ni dada yangu ngoja niongeze chumba just in case utakaribishwa tu. si unakumbuka nyumba zetu, tunajenga kinamna ili kuextend iwe rahisi
 
Last edited by a moderator:
Ni ujinga tu kwakuwa hata hizo $200=16,000 za kenya nisingemaliza 4 that late night ila ni fndisho kwangu na kwenu. Sijui nilwza nn ila nilikuwa na nyingine.

asavali make mtoto wa kiume ndo ungeaibika ati!!!!!
 
kutapeliwa ujue mtu akitapeliwa hawezi jua kmama anatapeliwa manake anayetapeliwa hajui kama anatapeliwa ama analiwa anakuja kushtuka tu ameshatapeliwa ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom