Ushawahi kususiwa mwanamke!

Ushawahi kususiwa mwanamke!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,101
Binafsi nimeshawahi kususiwa wanawake wanne kwa nyakati tofauti ila ndoa ilinikosakosa kama Mbappe alivyokosa penati jana!

Binafsi mbinu nazotumia kukwepa ndoa hizo za dharura ni kuwapokea kwanza bila kuleta ubishi na baada ya hapo ni kupiga matukio hadi anasepa mwenyewe

Vipi wewe ulishawahi kukutana na changamoto kama hii na ulitatua vipi ndoa za lazima?
 
Mwisho unaweza kuwa mbaya wenye kilio kuliko kicheko Cha leo badilika.
 
Binafsi nimeshawahi kususiwa wanawake wanne kwa nyakati tofauti ila ndoa ilinikosakosa kama Mbappe alivyokosa penati jana!

Binafsi mbinu nazotumia kukwepa ndoa hizo za dharura ni kuwapokea kwanza bila kuleta ubishi na baada ya hapo ni kupiga matukio hadi anasepa mwenyewe

Vipi wewe ulishawahi kukutana na changamoto kama hii na ulitatua vipi ndoa za lazima?
Mimi huwa ni ngumu kunifanyia hivyo kutokana na mfumo wa maisha yangu nilivyojiwekea maana nakuaga na mageto matatu sehemu tofauti kabisa Kutoka wilaya moja hadi nyingine

Gheto la kwanza ndio huwa hamna demu aliyewahi kuingia zaidi ya ndugu zangu ,hili huwa kama nyumba ya kuishi familia yani inakilakitu na vyumba vya kulala wageni

gheto la pili huwa na kitanda na jiko tu lakuzugia ,hili ni kwa ajili ya hao wanawake wanaopenda kuforce ndoa
Aisee hili gheto la pili huwa linawachanganya sana wanawake wanaopenda kuniganda nahisi huwa wanijiuliza mbona haeleweki huyu maana wananiona kama sipo nipo vile

gheto la tatu hili kwa ajili ya migegedo tu huwa pia tunashare na marafiki zangu kuishi humo kwa mpito

Mkuu jaribu hili life halafu utaona jinsi watu wanaokufatilia life lako wanavyoumiza kichwa😁😁
 
Mkuu jaribu hili life halafu utaona jinsi watu wanaokufatilia life lako wanavyoumiza kichwa
Duh aiseee nilikuwa najiona mm ni Muhini wa Kiwango cha juu ila kwa mara ya kwanza leo nimekutana na Upinzani mkali; Salute kwako Kamanda wa Kipango
 
Mimi huwa ni ngumu kunifanyia hivyo kutokana na mfumo wa maisha yangu nilivyojiwekea maana nakuaga na mageto matatu sehemu tofauti kabisa Kutoka wilaya moja hadi nyingine

Gheto la kwanza ndio huwa hamna demu aliyewahi kuingia zaidi ya ndugu zangu ,hili huwa kama nyumba ya kuishi familia yani inakilakitu na vyumba vya kulala wageni

gheto la pili huwa na kitanda na jiko tu lakuzugia ,hili ni kwa ajili ya hao wanawake wanaopenda kuforce ndoa
Aisee hili gheto la pili huwa linawachanganya sana wanawake wanaopenda kuniganda nahisi huwa wanijiuliza mbona haeleweki huyu maana wananiona kama sipo nipo vile

gheto la tatu hili kwa ajili ya migegedo tu huwa pia tunashare na marafiki zangu kuishi humo kwa mpito

Mkuu jaribu hili life halafu utaona jinsi watu wanaokufatilia life lako wanavyoumiza kichwa

kwahiyo kama huna mkwanja wa kupanga maghetto matatu tofauti tunafanyaje?
 
Mimi huwa ni ngumu kunifanyia hivyo kutokana na mfumo wa maisha yangu nilivyojiwekea maana nakuaga na mageto matatu sehemu tofauti kabisa Kutoka wilaya moja hadi nyingine

Gheto la kwanza ndio huwa hamna demu aliyewahi kuingia zaidi ya ndugu zangu ,hili huwa kama nyumba ya kuishi familia yani inakilakitu na vyumba vya kulala wageni

gheto la pili huwa na kitanda na jiko tu lakuzugia ,hili ni kwa ajili ya hao wanawake wanaopenda kuforce ndoa
Aisee hili gheto la pili huwa linawachanganya sana wanawake wanaopenda kuniganda nahisi huwa wanijiuliza mbona haeleweki huyu maana wananiona kama sipo nipo vile

gheto la tatu hili kwa ajili ya migegedo tu huwa pia tunashare na marafiki zangu kuishi humo kwa mpito

Mkuu jaribu hili life halafu utaona jinsi watu wanaokufatilia life lako wanavyoumiza kichwa😁😁
umalaya una gharama sana
 
Kususiwa mke si ndio zile ndoa za mkeka?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom