Ushawahi kupigana, kuchokozwa? Chanzo ni nini?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Haya mambo yanatokea sana

Niwape kisa kimoja kilitokea kwangu

Ilikua ni siku moja ambapo jirani yetu mmoja aliua kuku wetu kisha akaja kumtupa nje getini kwa dharau kwamba ameua!

Nyumbani hawakuwepo hata mtu mmoja

Nikamuuliza kwanini kafanya hivyo akanijibu kwa hasira kwamba hata mm anaweza kuniua kama huyo kuku

Kipindi hicho nilikua na miaka 17 tu nilihisi hasira utadhani kuna kitu nilikua nimekula

Niliingia ndani nikitetemeka kwa hasira nikitafuta panga maana hasira zilinituma nimuue tu...sijui kwanini

Niliangaza macho sikuona panga....Nikakuta mpini wa jembe nikatoka nao nje nikamwambia sasa aniue sasa

Jamaa alivyoona nimechemka akaacha kufikiria kupigana na mimi badala yake akaanza kunitusi na mama yangu

Nilimvaa nikaanza kumpiga sana na ule mpini wa jembe nilimpiga shigoni akaanguka pale pale......Nikajua nishafanya mauaji..watu walianza kujaa pale nilihisi nimeshaua nikaingia nikafunga geti nikajichimbia ndani

Kumbe alikua hajafa alikuja kuzinduka pale akaanza kujaribu kuleta fujo watu wakamkamata, sasa kutokana na kuwa na rekodi mbaya na ule mtaa na kwa kua ni mtu wa kuja alipewa wiki tu awe amehama

Mwisho alikuja kuhama ila tukawa tukikutana hatuongei huku mitaa ya pili hadi alipofariki mwaka jana

Nina visa vingi sana nitashare humu...hebu tuambie kwako ilikuaje hadi ukapigana?
 
Enzi za Tyson nikitoka kuangalia najiona mi ndo Tyson mwenyewe

Siku natoka shule Niko drs la 3 lidada la drs 7 nilimkanyaga Banat mbaya

Weee alin NASA Kofi nikasema hunijui si nikajifanya mbabe

Alinigaragazaaa mchangani sitosahau.
 
Haha

Mara ya mwisho kupigwa ilikuwa Ni form two Kuna chalii anaitwa muhidini nilimchomeaga kwa mwalimu maana me nilikuwa kiranja Sasa tumetoka shule kanifuata nikawa nimesimama Naye tunaangaliana sijakaa sawa nikapigwa mdoo wa hatari nilikaa pale pale nikaanzaga kulia mpk makamasi..ila Mambo ya kugombana Ni ya kizamani Sana maana siku hizi hata kuku hawapigani
 
Enzi za Tyson nikitoka kuangalia najiona mi ndo Tyson mwenyewe

Siku natoka shule Niko drs la 3 lidada la drs 7 nilimkanyaga Banat mbaya

Weee alin NASA Kofi nikasema hunijui si nikajifanya mbabe

Alinigaragazaaa mchangani sitosahau.
 
Enzi za Tyson nikitoka kuangalia najiona mi ndo Tyson mwenyewe

Siku natoka shule Niko drs la 3 lidada la drs 7 nilimkanyaga Banat mbaya

Weee alin NASA Kofi nikasema hunijui si nikajifanya mbabe

Alinigaragazaaa mchangani sitosahau.
Dah😄😄
 
Nakumbuka shule ya msingi darasa la 5-6...tulikuwa na makundi .

Kukawa Kuna kundi letu na wadada fulani walikuwa wamehamia tukiwa darasa la 5..walivyohamia wakapata wafuasi na Kuna wawili walitoka kundi letu wakawa kundi la wadada wapya...Basi bwana wavulana wakaweka chokochoko habari zikawafikia na kutufikia..ikabidi tukae mezani tujadili chokochoko mwisho wa mjadala likapangwa pambano🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nacheka Sana.

Basi bwana mpambano ukapangwa kila ijumaa kukawa na ngumi mmoja kwenye kundi letu mwingine kundi la wadada wapya....wakapigana weeh kufika ijumaa ya zamu yangu Sasa🤣🤣🤣🤣 tumbo jotooo...uzuri niliyepangwa nae alikuwa na kifafa siku hiyo kabla ya mpambano mwenzangu akazimia 😀😀 ilikuwa ahueni kwangu maana nilijiona naenda kudundwa liveeee Tena uwanja wa mpira 🤣🤣🤣 yewiiiii

Mpambano ukapangwa ijumaa iliyofuata bwana ...ile tumeshaputa mchanga tuanze mpambano ghafla tunasikia ajali mtoto kagongwa kukimbilia kumbe Ni mdogo wa yule mpiganaji mwenzangu😭...na ngumi zukaishia hapo..tukaishia kuwa marafiki group letu na la wale wadada.
 
Mie hili tukio sitasahau kamwee, nikikumbuka huwa nacheka hadi baas.

Ni hivi wakati huo nipo primary std 6, mie nilikua na tabia ya umbea na usengenyaji. Sasa class letu kulikua na wanafunz wawili ke na me, walikua na mahusiano ya kimapenzi, sasa wao wakawa wanafanya siri,

Dunia haina siri, siku hiyo class jion naondoka kuelekea home, si nikaokota barua wacha wee, kucheki hiv kukuta caption za mahaba utadhan aliyeandika Salman Khan, kumbe ni kilaza m1 hata asiyejua nini maana ya Elimu.

Basi muda huo huo nikaanza sambaza memoh kwa wale niliowazoea, wacha wee habari zikawa wazi wazi, siku ya pili asubuh tupo shule, mdada muhusika kanifata kuniuliza nkajidai machepele kumnanga juuu juu na kuanza kumpa maonyo ya kuacha mambo ya wakubwaa awe buzzy na kusoma.
Tobaaah kumbe mwenzangu kapeleka kwa mchumba ake,

Jion muda wa kurudi home, nkaviziwa njiani akiwa yule mwanaume na rafiki zake wawili, sasa wakaanza kunihoji nkawa nakataa, ktk kuzidi kunibana si nikaanza kujifaragua kwa nyodo, wee yule muhusika alinipiga kichwa ki1 matata hapo hapo Bongo za kichwa zilibadilishana majukumu ghafla , nlichezea kichapo cha haja toka kwa mtu 3, yaan ilikua gombania goli, walipoona nakua hali tofaut wakakimbia.

Nikajikokotaa hadi home, kufika home nikajifanya mgonjwa, nkapelekwa hospital, nikapumzika nkapona.
Nilivorudi shule, umbea na ukuda wote kuisha, tangu hapo mie nikawa mtu buzzy na mambo yangu hadi leo hii.

......
 
Kukawa Kuna kundi letu na wadada fulani walikuwa wamehamia tukiwa darasa la 5..walivyohamia wakapata wafuasi na Kuna wawili walitoka kundi letu wakawa kundi la wadada wapya...Basi bwana wavulana wakaweka chokochoko habari zikawafikia na kutufikia..ikabidi tukae mezani tujadili chokochoko mwisho wa mjadala likapangwa pambano nacheka Sana.

Basi bwana mpambano ukapangwa kila ijumaa kukawa na ngumi mmoja kwenye kundi letu mwingine kundi la wadada wapya....wapegina weeh kufika ijumaa ya zamu yangu Sasa tumbo jotooo...uzuri niliyepangwa nae alikuwa na kifafa siku hiyo kabla ya mpambano mwenzangu akazimia ilikuwa ahueni kwangu maana nilijiona naenda kudundwa liveeee Tena uwanja wa mpira yewiiiii

Mpambano ukapangwa ijumaa iliyofuata bwana ...ile tumeshaputa mchanga tuanze mpambano ghafla tunasikia ajali mtoto kagongwa kukimbilia kumbe Ni mdogo wa yule mpiganaji mwenzangu...na ngumi zukaishia hapo..tukaishia kuwa marafiki group letu na la wale wadada.
Nimecheka hapo ulijiona unaenda kudundwa lol,
 
Enzi za Tyson nikitoka kuangalia najiona mi ndo Tyson mwenyewe

Siku natoka shule Niko drs la 3 lidada la drs 7 nilimkanyaga Banat mbaya

Weee alin NASA Kofi nikasema hunijui si nikajifanya mbabe

Alinigaragazaaa mchangani sitosahau.
🤣🤣🤣🤣 hulijikuta Tyson
 
Nakumbuka shule ya msingi darasa la 5-6...tulikuwa na makundi .

Kukawa Kuna kundi letu na wadada fulani walikuwa wamehamia tukiwa darasa la 5..walivyohamia wakapata wafuasi na Kuna wawili walitoka kundi letu wakawa kundi la wadada wapya...Basi bwana wavulana wakaweka chokochoko habari zikawafikia na kutufikia..ikabidi tukae mezani tujadili chokochoko mwisho wa mjadala likapangwa pambano🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nacheka Sana.

Basi bwana mpambano ukapangwa kila ijumaa kukawa na ngumi mmoja kwenye kundi letu mwingine kundi la wadada wapya....wakapigana weeh kufika ijumaa ya zamu yangu Sasa🤣🤣🤣🤣 tumbo jotooo...uzuri niliyepangwa nae alikuwa na kifafa siku hiyo kabla ya mpambano mwenzangu akazimia 😀😀 ilikuwa ahueni kwangu maana nilijiona naenda kudundwa liveeee Tena uwanja wa mpira 🤣🤣🤣 yewiiiii

Mpambano ukapangwa ijumaa iliyofuata bwana ...ile tumeshaputa mchanga tuanze mpambano ghafla tunasikia ajali mtoto kagongwa kukimbilia kumbe Ni mdogo wa yule mpiganaji mwenzangu😭...na ngumi zukaishia hapo..tukaishia kuwa marafiki group letu na la wale wadada.
🤣🤣🤣 ila ingawa nimesikitika mwishoni 😥😥
 
Mie hili tukio sitasahau kamwee, nikikumbuka huwa nacheka hadi baas.

Ni hivi wakati huo nipo primary std 6, mie nilikua na tabia ya umbea na usengenyaji. Sasa class letu kulikua na wanafunz wawili ke na me, walikua na mahusiano ya kimapenzi, sasa wao wakawa wanafanya siri,

Dunia haina siri, siku hiyo class jion naondoka kuelekea home, si nikaokota barua wacha wee, kucheki hiv kukuta caption za mahaba utadhan aliyeandika Salman Khan, kumbe ni kilaza m1 hata asiyejua nini maana ya Elimu.

Basi muda huo huo nikaanza sambaza memoh kwa wale niliowazoea, wacha wee habari zikawa wazi wazi, siku ya pili asubuh tupo shule, mdada muhusika kanifata kuniuliza nkajidai machepele kumnanga juuu juu na kuanza kumpa maonyo ya kuacha mambo ya wakubwaa awe buzzy na kusoma.
Tobaaah kumbe mwenzangu kapeleka kwa mchumba ake,

Jion muda wa kurudi home, nkaviziwa njiani akiwa yule mwanaume na rafiki zake wawili, sasa wakaanza kunihoji nkawa nakataa, ktk kuzidi kunibana si nikaanza kujifaragua kwa nyodo, wee yule muhusika alinipiga kichwa ki1 matata hapo hapo Bongo za kichwa zilibadilishana majukumu ghafla , nlichezea kichapo cha haja toka kwa mtu 3, yaan ilikua gombania goli, walipoona nakua hali tofaut wakakimbia.

Nikajikokotaa hadi home, kufika home nikajifanya mgonjwa, nkapelekwa hospital, nikapumzika nkapona.
Nilivorudi shule, umbea na ukuda wote kuisha, tangu hapo mie nikawa mtu buzzy na mambo yangu hadi leo hii.

......
🤣🤣🤣
 
Me nilipigana sana kupiga na kupigwa niliona kawaida

Ila kuna in charge wetu kiwandani nilipokua nafanya kazi alizidisha Ungese nilimpiga na ndoo kichwani tena zile ndoo nzito mpk nikatimuliwa kazi.
 
Nakumbuka shule ya msingi darasa la 5-6...tulikuwa na makundi .

Kukawa Kuna kundi letu na wadada fulani walikuwa wamehamia tukiwa darasa la 5..walivyohamia wakapata wafuasi na Kuna wawili walitoka kundi letu wakawa kundi la wadada wapya...Basi bwana wavulana wakaweka chokochoko habari zikawafikia na kutufikia..ikabidi tukae mezani tujadili chokochoko mwisho wa mjadala likapangwa pambano🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nacheka Sana.

Basi bwana mpambano ukapangwa kila ijumaa kukawa na ngumi mmoja kwenye kundi letu mwingine kundi la wadada wapya....wakapigana weeh kufika ijumaa ya zamu yangu Sasa🤣🤣🤣🤣 tumbo jotooo...uzuri niliyepangwa nae alikuwa na kifafa siku hiyo kabla ya mpambano mwenzangu akazimia 😀😀 ilikuwa ahueni kwangu maana nilijiona naenda kudundwa liveeee Tena uwanja wa mpira 🤣🤣🤣 yewiiiii

Mpambano ukapangwa ijumaa iliyofuata bwana ...ile tumeshaputa mchanga tuanze mpambano ghafla tunasikia ajali mtoto kagongwa kukimbilia kumbe Ni mdogo wa yule mpiganaji mwenzangu😭...na ngumi zukaishia hapo..tukaishia kuwa marafiki group letu na la wale wadada.
Aisee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom