Ushawahi kupigana, kuchokozwa? Chanzo ni nini?

Hii mambo acha kabisa.

Nakumbuka siku iyo nimetoka zangu shule kufika home mtoto (kike) wa nyumba pili akanikoroga bhana.

Nikamfua kinoma akaja Dada yake si mkubwa saana, tukaleteana shida ila wakawa wananizidi nguvu wote wawili(wananichangia).

Nikaingia ndani, nikachukua tambariko(ile ya kusongea ugali) ni ile ya kukanyaga ndo usonge achana na izi za kushika kwa mkono mmoja.

Nikatoka nayo nimevimba kinoma, si nikawakuta bado wapo nje wanashanga shangaa. Nikawashona nayo ikawa ni kilio tu apo mtaani.

Sas kumbe bro wao alikua yupo bhana, si nikajisahau niko zangu nimesimama ukutani jamaa sijui alitokea wapi aisee.. daaah!! Aliruka ilo teke mzee si mchezo nikaunganishwa na ukuta baba ako. Mbaya zaidi ukuta ulikua umepigwa puching. 🥺🥺🥺
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣mkong’oto ulikuhusu shukuru Mungu.
Nakumbuka shule ya msingi darasa la 5-6...tulikuwa na makundi .

Kukawa Kuna kundi letu na wadada fulani walikuwa wamehamia tukiwa darasa la 5..walivyohamia wakapata wafuasi na Kuna wawili walitoka kundi letu wakawa kundi la wadada wapya...Basi bwana wavulana wakaweka chokochoko habari zikawafikia na kutufikia..ikabidi tukae mezani tujadili chokochoko mwisho wa mjadala likapangwa pambano🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nacheka Sana.

Basi bwana mpambano ukapangwa kila ijumaa kukawa na ngumi mmoja kwenye kundi letu mwingine kundi la wadada wapya....wakapigana weeh kufika ijumaa ya zamu yangu Sasa🤣🤣🤣🤣 tumbo jotooo...uzuri niliyepangwa nae alikuwa na kifafa siku hiyo kabla ya mpambano mwenzangu akazimia 😀😀 ilikuwa ahueni kwangu maana nilijiona naenda kudundwa liveeee Tena uwanja wa mpira 🤣🤣🤣 yewiiiii

Mpambano ukapangwa ijumaa iliyofuata bwana ...ile tumeshaputa mchanga tuanze mpambano ghafla tunasikia ajali mtoto kagongwa kukimbilia kumbe Ni mdogo wa yule mpiganaji mwenzangu😭...na ngumi zukaishia hapo..tukaishia kuwa marafiki group letu na la wale wadada.
 
Nlishapigana sana Ila Kuna siku nikawa shule ya msingi pale Mwanza inaitwa Nyakabungo.

Nasoma darasa moja na jamaa mmoja alichezeaga Simba anaitwa Shamte Ali yule ndezi alikuwa kakomaa tunamuita Kigo master ndio jina lake maarufu pale shuleni... Sasa nikajiroga nikamuaminia kuzipiga nae akaruka flying kick akanipiga kwenye Kidevu baada ya hapo mate yalikuwa yanadondoka siku nzima yenyewe tu, Soksi nikawa naita Chomchi... Zambarawe naita mbambalawe!

Nlikuwa natokea jeshini... Nimeshindikana kuanzia kwa wanajeshi Hadi watoto wa pale kambini Ila yule Koro aliniadhiri Sana kwa watu waliokuwa watiifu kwangu na wananiogopa Hadi wakataka waniaminie na wao tuzipige tena coz nilionesha udhaifu saana buti moja tu chali Seema baada ya hapo nikashinda pambano gumu saana la kiongozi mmoja wa watoto wa kuleana hili lilinirudishia credit tena.
 
Kipindi ndo naingia kidato cha kwanza mimi na rafiki yangu wa pale mtaani tulipangiwa shule moja. Ubaya ni kwamba tuliambiwa tu inapatikana baada ya kuvuka eneo la Ituta, sisi tuko kwenye Hiace tunamuuloza kondakta tumefika ituta akatuambia hapa ndo tunashuka mbalizi, ilikuwa stendi ya Iwambi basi tukafanya mchakato wa kufika mbalizi na kugeuza nalo hadi hapo ituta penyewe.

Katika kuulizauliza tukakutana na mama mmoja alikuwa amebeba ndoo sijui alitoka kuzinunua dukani ni zile za mafuta ya korie akatupa direction ya ovyo shida tumbebee zile ndoo.

Baada ya kufika skuli penyewe wakasema joining insttuction zinatoka next ko tukaanza kugeuza, njaa ikatushika tukaamua kuelekea kwenye kiwanda cha pepsi hapo hapo karibu na Ituta bahati ilikuwa yetu tulikuta kwa nje kuna juice na biscuits and other stuffs zinauzwa, by the way kulikuwa na mradi unajengwa nadhani. Sasa bana issue ilikuja kuwa hivi katika kulipa nauli rafiki anguvalikuwa na hela kubwa nikamlipia uki 'plus' na hela niliyotumia kununua juice na biscuits ikawa kama 1500/=. Tumeingia kidato cha kwanza easy mwamba akasahau kunilipa nikaona iwe poa tu, sasa sijui form two alikuwa anapiga stori na friends wake akatia neno 'mimi Diff C9 nilimtapeli 1500/= na maneno kibao' taarifa hata haikuchelewa ilinifikia (aisee tulikuwa tunasoma na wambea mno), nikamwambia mleta ujumbe mwambie huyo jamaa(the guy who swindled my dear 1500/=) kabla ya kufika saa nane atakuwa ameumia, aisee mkwara ulikuwa heavy jamaa alitoroka saa 5 asubuhi.

Kutokana na kuwa mkimya kuna watu wengi waliamink nina maamuzi mazito mno, ilikuwa ngumu tu mtu from nowhere kunianza kwa jambo lolote, out of topic ila kuna girl aliwahi kuteseka kwasababu yangu hata sikuwa na time nilikuwa nawaza soka, movie na ujinga mwengine, life wasbnot fair enough alikuja kuhama
 
Huku na huku mchikichini primary moro hiyo, darasa la pili kuna mwamba alihamia alionekana mzembe mzembe tu; sasa si ndo mdanta nkajifanya mjuaji kumzingua zingua muda wa mapumziko, nilikula jab's na right za kutosha na jamaa tangu siku hiyo nkawa mambebea begi wakati tunarudi nyumbani...sitomsahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nlishapigana sana Ila Kuna siku nikawa shule ya msingi pale Mwanza inaitwa Nyakabungo.

Nasoma darasa moja na jamaa mmoja alichezeaga Simba anaitwa Shamte Ali yule ndezi alikuwa kakomaa tunamuita Kigo master ndio jina lake maarufu pale shuleni... Sasa nikajiroga nikamuaminia kuzipiga nae akaruka flying kick akanipiga kwenye Kidevu baada ya hapo mate yalikuwa yanadondoka siku nzima yenyewe tu, Soksi nikawa naita Chomchi... Zambarawe naita mbambalawe!

Nlikuwa natokea jeshini... Nimeshindikana kuanzia kwa wanajeshi Hadi watoto wa pale kambini Ila yule Koro aliniadhiri Sana kwa watu waliokuwa watiifu kwangu na wananiogopa Hadi wakataka waniaminie na wao tuzipige tena coz nilionesha udhaifu saana buti moja tu chali Seema baada ya hapo nikashinda pambano gumu saana la kiongozi mmoja wa watoto wa kuleana hili lilinirudishia credit tena.
 
Nlishapigana sana Ila Kuna siku nikawa shule ya msingi pale Mwanza inaitwa Nyakabungo.

Nasoma darasa moja na jamaa mmoja alichezeaga Simba anaitwa Shamte Ali yule ndezi alikuwa kakomaa tunamuita Kigo master ndio jina lake maarufu pale shuleni... Sasa nikajiroga nikamuaminia kuzipiga nae akaruka flying kick akanipiga kwenye Kidevu baada ya hapo mate yalikuwa yanadondoka siku nzima yenyewe tu, Soksi nikawa naita Chomchi... Zambarawe naita mbambalawe!

Nlikuwa natokea jeshini... Nimeshindikana kuanzia kwa wanajeshi Hadi watoto wa pale kambini Ila yule Koro aliniadhiri Sana kwa watu waliokuwa watiifu kwangu na wananiogopa Hadi wakataka waniaminie na wao tuzipige tena coz nilionesha udhaifu saana buti moja tu chali Seema baada ya hapo nikashinda pambano gumu saana la kiongozi mmoja wa watoto wa kuleana hili lilinirudishia credit tena.
Aliechezea simba ni Haruna shamte kwa sasa yupo Namungo na uyu kabla ya simba alikua Toto Africa ya mwanza. Shamte Ali wa yanga naona umechanganya majina tu kidog
 
Attachments

  • Screenshot_20210301-010635.jpg
    Screenshot_20210301-010635.jpg
    94.1 KB · Views: 1

Similar Discussions

Back
Top Bottom