Mpaka umekuja kuandika hapa inaonesha haujutii upuuzi na ubinafsi wako dhidi ya rafiki yako na unajivunia kuwa mjinga na mtu mwenye tamaa.Nimeacha mm na niko na partner wengi kwenye biashara kuliko unavyoniwazia ww
Nimeacha mm na niko na partner wengi kwenye biashara kuliko unavyoniwazia ww
Basi haka kadogo kalijua tutakaona mwamba tukasifie weee.
[emoji1787][emoji1787]
Kamejua hakajui.
Sawa mwanaharakati.Hakuna ujinga kwenye kupambania unachokitaka haijalishi utafanyaje ili mradi ushindi upatikane
Uyu Jamaa Inamaana katuletea chai au[emoji848]Sensa ya Mwaka 2012, akahama.....ikapita miaka 11 hivi ukiongeza hapo inakuwa 2023 enhee hadithi Ni ya mwaka upi sasa [emoji23][emoji23][emoji23] shenzi zako
Tena hata sukari hainaUyu Jamaa Inamaana katuletea chai au[emoji848]