[emoji28][emoji28][emoji28] Sasa hawa waliokula kimasihara walimla Nani? Mbona hakuna uwiano mzuri Kati ya waliokula kimasihara na walioliwa kimasihara?
Wanaona kama ni humiliation Fulani kukiri kama waliliwa kimasihara japo wanatumia fake I'd kitendo cha wao kukiri waliliwa kimasihara hawawezi naona wanaumia moyo wakijua HVO