Ushawahi kulazimisha penzi?

Ki ukwel mm nina matatizo nasijui tayatibu vipi nikiwa kwenye mahusiano sumu mwanamke aoneshe yy ndio kanipenda sana tamtesa sana natokea kumchukia eeehh mungu nisaidie nipone
@Mshanajr alisema...ukishindwa kusamehe LIPA KISASI.
 
Sasa unavyomwambia mtu unampenda na kumuhitaji Sana...Ungemwambia pia asikupende Sana...

Hii ni excuse tu yakutumia watu....nawakuwapotezea Muda..unakuwa unajua from the word GO...Nia yako Ni nini
Comment hiyo ina ubaya gan mpaka kunifata DM nakuanza kunitukana na vitisho kibao pole sana inaonekana unastress sana au umedhan ndio yule bwana wako pole sana tena sana kunywa maji mengi sana
 
Comment hiyo ina ubaya gan mpaka kunifata DM nakuanza kunitukana na vitisho kibao pole sana inaonekana unastress sana au umedhan ndio yule bwana wako pole sana tena sana kunywa maji mengi sana
Mkuuu. Vipi Tena nimekufuataa Dm...labda nimekuchanganya ..mbona mimi sikujui mkuu
 
Agreed [emoji817] [emoji110]
 
Unaweza ukadhani nyungu imekuepusha na Corona kumbe ndio inadhoofisha mwili wako
 

Kama mimi tuu [emoji23]
 
Maisha haya yaajabu sana
Yaani ukimpenda mtu yeye hakupendi
Akikupenda wewe humpend
Kifupi tafrani tupu


Juz kaz baada yakuona nmekaa muda mrefu bila kuwa kwenye hiyo sector nkapata wasaa wakuongea na bidada mmja hivi
Of coarse nlilataman kumfanya wife kabisa
Kwakua bado anahangaikia elimu
Nlimwambia akipata boom aisev kidogo kisha na mim ntakua nnampower kimtindo kila mwisho wa mwezi
Ili akija maliza chuo coz ndio last year walau awe na kiasi chake chakuendesha maisha na kiniashara chochote akihitaji

Na mambo mengine mengi
Nlimkubari tu kutoka moyoni

Ila ameniona kama panya iliyokosa manyoya
Naona mwenzangu yupo mbali
Haelew nin namuambia
Bas nmeona niendage na njia yangu........

(Nje ya maada wanyakyusa wanashida gani?)
 
Wako serious itakua ana mahusiano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…