Ushawahi kukutana na Boxing za mtaani?

Kadhakan

Senior Member
Joined
Jul 20, 2026
Posts
126
Reaction score
200
Kwenye pitapita zangu za mtandaoni nimekutana na boxing isiyokuwa na refa imenikumbusha enzi za utoto mnapigana alafu wakubwa wanasema amna kuwa ingilia wameshiba hao.

Je ushawahi kupigana alafu watu wasiwaingilie wanawaacha mpigane mpaka apatikane mshindi?

Ndo hii sasa,



Your browser is not able to display this video.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…