konda wa daladala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Wanaume kama mabinti! Konda wa daladala akiuliza iwapo kuna mtu anataka kushuka kituo kinachofuata, utasikia mwanaume mzima anasema, 'SHUSHAAA!' 🤮

    Mwanaume unashindana na wananawake kutamka neno, SHUSHAAA! Kwenye daladala? Si useme tu, mimi nashuka hapo mbele. Wanaume kama Jamila bhana!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kukimbiza daladala kisa chenji?

    Habari wanaJF leo nikiwa katika daladala za Buza-Kawe kunatukio limetokea nimeona sio sawa , kuna dada alikuwa anataka kushuka kwenye kituo anachotaka kushuka sasa alikuwa bado anadai chenji kwa konda ameanza kumdai kabla ya kufika katika kituo anachotaka kushuka yule konda akawa anamjibu...
Back
Top Bottom