Hapana na likizo hii tumeonana Mwanza ...jamaa mtu wa sifa sana ..ukiongea nae anaanza sifaMkuu pengine hakufahamu. Mwaka 2013 kuna jamaa alinifananisha nikamtalia simjui. Jamaa alinionyesha mpk picha ya kwenye simu ya huyo jamaa.. kiukweli mm na ile picha tunafana kwa kiasi kikubwa Unaweza ukasema twins. Mwisho wa siku jamaa alielewa.
Mi sinaga kawaida ya kumbembeleza mtu, nikimsalimia na haoneshi mshtuko wowote kama anahisi tumeonana sehemu, huwa napita hivi!Heri ya mwakampya wadau,nashukuru kujaaliwa mwaka mwingine wa uhai
Kwenye maisha kuna watu akipata mafanikio au hata akiwa kwenye level Fulani ya maisha anaweza kukukana mpaka ukashangaa.
KISA CHA KWELI
kuna jamaa tuliwahi kukaa kwa babu enzi hizo anasoma A level huko mwanza nikaja kukutana nae DSM aisee jamaa akasema hakumbuki kama amewahi kuwa mwanza [emoji41] [emoji23] [emoji23] ...nikamtajia mpaka nickname yake kasema hanijui nilichukulia easy kwa sababu jamaa ni mpenda sifa.
Umewahi kukanwa katika mazingira yoyote na mpenzi,ndugu au rafiki tushare jamani.Karibuni
kuna panzi mmoja alikuwa 1st udom hapo ndo imeanzshwa (2009) nilisoma nae mpakani huko mtwara kukutana dodoma jamaa akanikatalia kabisa sio yeye.
siku moja nimeenda kuwaona jamaa zangu akaja na yeye nikasema simkumbuki kabisa jamaa wananishangaa tu badae nawaambia huyu jamaa niliwahi onana nae town akanikana sinaga stori nae mpaka leo.
yap mwaka 2009 ndo ilikuwa mwanzo mwanzo chief, yule panzi mwenzako alikataa hanifahamu kabisaWe panzi, UDOM imeanzishwa 2007.
yap mwaka 2009 ndo ilikuwa mwanzo mwanzo chief, yule panzi mwenzako alikataa hanifahamu kabisa
Ubaya ubayanikuna panzi mmoja alikuwa 1st udom hapo ndo imeanzshwa anzishwa (2009) nilisoma nae mpakani huko mtwara kukutana dodoma jamaa akanikatalia kabisa sio yeye.
siku moja nimeenda kuwaona jamaa zangu akaja na yeye nikasema simkumbuki kabisa jamaa wananishangaa tu badae nawaambia huyu jamaa niliwahi onana nae town akanikana sinaga stori nae mpaka leo.
Pole mkuuKuna jamaa alikua anasoma Udom, alikua anakuja kwa kaka yake ambae amepanga nyumbani kwetu. Tunacheki movies, mpira na kutembea mtaani pamoja. Udom tulikuwa tunakula nae kwa wajasi ng'ox 2010's.
Ila siku moja nikamkuta katika shule flani hivi anafundisha, nilikua nimeenda kufanya usahili maana waliniita. Mkurugenzi alivyoona Udom, akasema tena mwenzio yuko hapa na akamwita, kisha akamuuliza;unamfahamu huyu? Niwenzio wa Udom. Jamaa bila hiana kasema hanijui.
Lakini jioni tunakutana kitaa ananiita jina langu na kuanza kumung'unya maneno yasiyoeleweka. Kiukweli huwa inaniuma hadi leo, usiombe kukanwa hadharani tena mbele ya macho yako mchana kweupe, utatamani kulia hutaweza, roho itakuuma sana sana sanaaa.