Ushauriiiii kuhusu Punyeto

Ushauriiiii kuhusu Punyeto

Haina madhara pili ni cheap na haina usumbufu,hakika naenjoy nikiwa kwenye punyeto si zani kama nitaacha
 
Ni ngumu kuacha ka huna nia ya dhati, believe me, unaweza kupiga puli hadi unakufa ka usipoamua kuwa enough is enough.
 
mwambie huyo rafik yako afungue account jf tumpe ushaur au kama ni.ww sema .....solution mwambie atafute dem tena dem ampende jamaa ili kila jamaa atakapohitaji gem apate ndan ya wiki mbil mpaka mwez atakuwa kashaacha kabisa ........yan kila atakapojickia kufanya mastabee amuite dem wake wamalizane itafikia kipind atazoea papuch zaid kuliko punyeto.......


mwambie pia aepuke kukaa mwenyew ni mbaya , ukikaa na watu wengi sa nyingne inashndikana kujichua mbele za watu.....
Ila aliyezoea nyeto hata akipata papuchi kila saa hawezi kuacha nyeto, nyeto ina raha yake tena zaidi ya papuchi, ikipata mafuta mazuri wee acha kusema vitu viziri hivyo
 
Habari zenu wana jamvi

Title inajieleza wazi hapo juu ninarafiki yangu yeye amekuwa akisumbuliwa na tatizo hili la kupiga nyeto mara nyingi sasa anamwaka kama wa nane hivi akisumbuliwa na tatizo hili amejitahidi kuacha lakini anaweza kuacha kwa muda then akarudia tena

Sasa afanyaje ili aondokane na karaha hiii na infact hapendi na anaichukia lakini hawezi kuiacha afanyaje?
Akikua ataacha tu
 
Haina madhara yyt kiafya so why uache?Faida za punyeto ni kubwa kuliko hasara zake so why uache?
 
Kama kweli yupo siriaz kuacha mwambie apigie super glue kwa mara ya mwisho, huwa ina umoto moto nayo km V- jay jay.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom