kituma12
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 301
- 122
Mimi naku support 100% hakuna kitu kinaudhi kama mkeo akwambie eti ex wake kamtafuta....mumeo wa huyo dada ni mstaarabu sana, sasa Dada apambane na hali yake kulinda ndoa yake asitafute sababu za kumsingizia mumewe eti kwanini kakaa kimya, ulitaka akupigi vibao??ni wanaume wachache wanaopenda kufahamu background za wenzi wao na huwa zinatuudhi.Naamini kukaa kwake kimya ameudhika.Kaa nae upate msimamo wake muone kama mwaweza kushirikiana kulimaliza tatizo.
Una uliza ufanyeje usha shindwa kublock number ?? Na kwa experience yangu ata endelea kukusumbua mpaka utakapo amua kwa dhati kumdhibiti
Wanaume bila kutukanwa huwa hawaelewi..