BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Push him baby....mpaka aseme kitu....Mwanaume,mwanamke wako kuna mtu anammendea harafu unanyanyua mabega akimpata utalalamika?Noma....
Kama sikosei hata huyo Ex..,kashaona kuna gap(udhaifu)kwa mume..wakati mwingine..kujiamini kwa mwanamke na kuwa na msimamo kuna changiwa na mwaume mwenyewe...sasa huyo wa kunyanyua mabega kwa kweli...
Sasa wewe hapo unakuwa umebaki peke yako....kwenye kufanya maamuzi.Sio kipimo kizuri.Na huyo jamaa Ex,sio kwamba anakujua zaidi ya wewe unavyo mjua anaona kuna uwezekano one day unaweza kudhoofika akapata anacho taka..so mume lazima awe strong kuonyesha anakupenda yuko tayari kukutetea...akiacha na mabega yake Ex..anaweza kukupata..
Nakuunga mkono kabisa mke wako anakuomba ushauri afanye nini ili former boyfriend aache kumtumia message za kimapenzi halafu unanyanyua mabega? 😕
Alitakiwa aseme chochote kukaa kwake kimya mimi sikuelewi hata kidogo. Je, huwezi kuomba kubadilisha namba yako kutokana na usumbufu unaopata toka kwa huyo jamaa?