Ushauri

Estyzo

Senior Member
Jul 24, 2011
158
39
Wana jf i xpect to get ur advice though am a new member to this site nina gf wangu nampenda na tumeaidiana kuoana badae na kaniambia ye n virgin so suala la sex mpaka tuoane nina wasiwasi naye kwan nilipokuwa o-level niliwahi kupata gf wa aina hyo na tukawa na mipango mizuri cha kushangaza baada ya kukaa naye kwj miaka miwili bila kusex akamkubalia mtu mwingine na wakasex baada ya miezi mitatu nahc na huyu atafanya hivyo nikimsubiri. Naomben ushauri wenu.

Huyo hayuko virgin, nambie sasa, anakwambia yuko virgin na je siku umemuoa ukakuta hana unafanyaje? Utavunja ndoa?

Wanawake wengine wanafiki sana.

hapo bold:acha uongo na kwa taarifa yako mdada hata kama hana bf lazima akuzingue kuwa anaye na wanampango unaoeleweka, na walisha lala
personaly nilimdanganyaga my bf kuwa I AM NOT VIRGIN for quite long period

ni ngumu mno kukupa ushauri fasaha...
but kwa historia yako yaonesha wewe wamekupata....
wanajua namna ya kukudanganya.take care

so tatizo ni yeye na wala sio hao mabinti

kabisa kabisa....

kama unamtokea binti na akukugundua wewe ni mlokole mlokole hivi
na unaponda ponda sex....na yeye kuna kitu anataka kwako
afanyeje?atajifanya bikira hivi au mtulivu mno.....

ni ngumu mno kukupa ushauri fasaha...
but kwa historia yako yaonesha wewe wamekupata....
wanajua namna ya kukudanganya.take care

hapo ndio penyewe,..nafikiri ushauri hapa ni kumshauri huyu jamaa yetu abadilishe namna/style anavyo_waaproach hawa wapendwa wetu katika sayari ya mapenzi

hapo bold:acha uongo na kwa taarifa yako mdada hata kama hana bf lazima akuzingue kuwa anaye na wanampango unaoeleweka, na walisha lala

personaly nilimdanganyaga my bf kuwa I AM NOT VIRGIN for quite long period

Now, Do you this is the kind of love we are looking for?

kabisa kabisa....

kama unamtokea binti na akukugundua wewe ni mlokole mlokole hivi

na unaponda ponda sex....na yeye kuna kitu anataka kwako

afanyeje?atajifanya bikira hivi au mtulivu mno.....

Nianze kwa kukupa experience; Kati ya wanawake niliowahi ku-do nao (zaidi ya 20), zaidi ya nusu walikuwa wananiambia wana bikra kabla hatujakutana, lakini ukweli ni kuwa ni mmoja tu nilimbahatisha anayo. Inawezekana anakwambia ukweli, lakini probability kubwa ni kuwa unadanganywa. Nikushauri tu kuwa hata kama anayo, au hana, usikubali kuoa demu ambaye hujalala nae tena vya kutosha.

Duuuuuuhhh!

imeandikwa usizini ni dhambi acha kuwaza hilo,hata kama asingekuwa nayo huo ndio msimamo wa dini zote.

Nianze kwa kukupa experience; Kati ya wanawake niliowahi ku-do nao (zaidi ya 20), zaidi ya nusu walikuwa wananiambia wana bikra kabla hatujakutana, lakini ukweli ni kuwa ni mmoja tu nilimbahatisha anayo. Inawezekana anakwambia ukweli, lakini probability kubwa ni kuwa unadanganywa. Nikushauri tu kuwa hata kama anayo, au hana, usikubali kuoa demu ambaye hujalala nae tena vya kutosha.

khaaaaaa! Experience la hatari.

Wana jf i xpect to get ur advice though am a new member to this site nina gf wangu nampenda na tumeaidiana kuoana badae na kaniambia ye n virgin so suala la sex mpaka tuoane nina wasiwasi naye kwan nilipokuwa o-level niliwahi kupata gf wa aina hyo na tukawa na mipango mizuri cha kushangaza baada ya kukaa naye kwj miaka miwili bila kusex akamkubalia mtu mwingine na wakasex baada ya miezi mitatu nahc na huyu atafanya hivyo nikimsubiri. Naomben ushauri wenu.

kweli wewe iko mpya kabisa hapa......................haya masuala tumekwisha kuyaongelea sana siku za zamani....................kifupi ujiulize unaoa mtu au bikira................................kama ni bikira akapimwe hospitali kama anayo kweli lakini kumbuka ndoa ni pana zaidi ya hilo moja.....................na halionyeshi kama ataendelea kujitunza baada ya kukunasa wewe....................

Back
Top Bottom