Ushauri

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,744
2,000
Kwa wale ambao hamjaoa kuweni makini unaweza oa MTU anadaiwa na Bodi ya mikopo ya elimu ya juu Milion30 utazilipa mpaka ukome.

Utaratibu mzuri nenda bodi ujilizishe anadaiwa ngapi shilling upungeziwe mahali usije ukajuta....

 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom