Ushauri

Mzigua90

JF-Expert Member
Sep 23, 2014
38,308
88,482
USHAURI WA BURE

kama ni mtumishi wa umma au idara ya serikali, ukiamka asubuhi kabla hujajiandaa kwenda kazini kwanza pitia social media "unaweza save nauli yako" kuanzia maisha ya kesho yake.

Mfano napata taarifa NOW kuwa wafanyakazi 597 wa NIDA wamepingwa STOP.
 
Back
Top Bottom