ushauri

Baiskeli

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
336
61
Wadau nataka kununua lap top, ndogo 10" kushuka. naomba ushauri wenu vi2 gani nizingatie vya muhimu ktk specif. zake.
 
zaidi angalia maitaji yako ukiyasema unaweza kupewa ushauri mzuri zaidi
 
Wadau nataka kununua lap top, ndogo 10" kushuka. naomba ushauri wenu vi2 gani nizingatie vya muhimu ktk specif. zake.

Mkuu naamini ukiboresha swali lako hapa kuna wadau watakupa nondo za uhakika kuhusiana na unachotaka kununua na mahitaji yako.
Unataka laptop kwa matumizi gani, cafe au kuwapa wanao, au za kuweka ktk biashara zako.
please be specific according to your requirements
 
nahitaji kwa matumizi yangu ya kawaida kama browsing lakin napenda iwe na spid uwezo wa kuifadhi mkubwa uwezo hasa kwa internet.
 
angalia processor speed na ram. Angalia video card gani, ooo mungu awalaani NVDIA!..

pia, usisahau kugoogle hio model, kwa common problems. Kwasababu kuna baadhi ya model, zinakuwa na specific probs.
 
unajua mm si mtaalamu wa kujua ram namba ngap ndo safi pia processor ya aina gan?
 
  • Kwa nini unataka ya 10" kushuka na si zaidi?
  • Je unajua hizo 10" ni dimension ya kitu gani? Na inapimwaje?
  • Ni notebook gani yenye 10" uliyoiona kwa macho ukaipenda? ukijibu hili wataalam watatumia kukuchagulia nzuri zaidi lakini inayoendana na taste yako
 
Back
Top Bottom