Bila kujali kwamba tuhuma za Ben Saanane na wengine ni kweli au sio kweli
naona ni busara kwa Zitto now ajitoe CHADEMA na aunde chama chake ambacho yeye atakuwa
mwenyekiti na ataweza kukusanya washabiki wake wote waliopo CCM na CHADEMA na kwingineko
Sioni ni vipi Zitto anaweza kugombea urais kwa kupitia CHADEMA sio tu 2015
lakini mwaka wowote ule.....CHADEMA will never be the party for him to vie for the presidency..
hii now iko waazi mno
Na Zitto lengo lake kuu ni kugombea urais...
basi ni bora ajipange now......
mimi naona this way it is better kwa kila mtu
Zitto na CHADEMA pia......
Yeye ni NDUMILA KUWILI hana WASHABIKI CCM wa kumfanya KUWA RAIS; SHABIKI wake MKUBWA CCM in RAIS wa NCHI na NIA yake ni Kwa KUIVURUGA CHADEMA...
ANGALIA AKIANZISHA CHAMA CHAKE UONE - WAPI atapata PESA na WASHABIKI... atakuwa AMEJIUA KISIASA...
SIASA za BONGO sio kama ZA KENYA... KURUKA RUKA na VYAMA kama CHURA
Mwisho, nasikia sikia sana habari za kuchinjana. Kuuana nk. Nasikia habari hizi kwa watu wale wale wa kikundi kile kile. Moja, natoka Kigoma. Nimeaga kwetu. Nitakufa kwa amri ya Mungu. Siogopi kufa. Iwapo kifo changu kitatokana na mkono wa mtu, sidhani kama kwa mtu huyo kama hata panya atabaki nyumbani kwao. Underline this.,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Haya si maneno yangu,ni ya mh Zitto,anayetaka kuwa rais...Mungu tusaidie.Bila kujali kwamba tuhuma za Ben Saanane na wengine ni kweli au sio kweli
naona ni busara kwa Zitto now ajitoe CHADEMA na aunde chama chake ambacho yeye atakuwa
mwenyekiti na ataweza kukusanya washabiki wake wote waliopo CCM na CHADEMA na kwingineko
Sioni ni vipi Zitto anaweza kugombea urais kwa kupitia CHADEMA sio tu 2015
lakini mwaka wowote ule.....CHADEMA will never be the party for him to vie for the presidency..
hii now iko waazi mno
Na Zitto lengo lake kuu ni kugombea urais...
basi ni bora ajipange now......
mimi naona this way it is better kwa kila mtu
Zitto na CHADEMA pia......
So hutaki atoke na kuanzisha chama chake?
at the same time unaona anasaliti chadema?
Zitto siyo presidential material hata chembe.
Iwe tuhuma dhidi yake ni za kweli au la, a presidential material has to be above suspicion in many respects.
Sasa huyu kwenye ufisadi, tuhuma anazo. Kwenye undumilakuwili, tuhuma anazo. Kwenye usaliti, tuhuma anazo.
Na sasa hadi kwenye ushirikina, tuhuma anazo.
Where there is smoke there is fire. Zitto hafai kuwa rais.
He is too polarizing.
Siko hapa kumuunga mkono
na utaona sijasema 'anafaa'
lakini kugombea urais ni haki yake ya kikatiba
sasa bora atoke huko Chadema afanye siasa where he will be more free
na Chadema watajipanga vizuri
Oh yeah...kama anatimiza vigezo vilivyowekwa na katiba ni haki yake kama ilivyo haki kwa Watanzania wengine.
Ila kwangu mimi nilishagasema hafai na bado nasema hafai.
Kwenye politics kufaa au sio kufaa sometimes
hakutazamwi
watu hutazama wafuasi wangapi unao
so kama yeye anaamini anaweza kugombea urais na kushinda
basi hawezi kushindwa kuanzisha chama na kikawa cha kitaifa
atajisaidia yeye na kuisaidia chadema pia
pole kwa lipi kamkana hamjui ben kumbe alikuwa anamshirikisha mpaka mkumbo ben aje akanushe huku akiwa alishamshirikisha hata viapo vyake vya kwa mganga wasivujishe siri za kundi lake la wasaliti huku akija jamii forums kutuongopea ben kamwanika na mamuye jinsi mchana chadema usiku ccm soma majibu ya ben uelewe hutampongeza utamshauri ache siasa za undumila kuwiliPole zitto,mti wenye matunda mengi ndo unaopigwa mawe siku zoteee...Zitto usiwasikilize watu hawana nia njema juu yako wala hawana shukran kwa kazi uliyoifanya....,maana mengi ni ww zitto umetufanya tujue ila hawaoni haya...komaa hapo hapo CDM.
Nimekuwa na mashaka muda mrefu na ADC, ninahisi ana mpango wa kuhamia kule.
Ni muda sasa Kgm vuguvugu ya CDM imepungua, mwandiga kwenye kata yake ni bendera za ADC tu. Hivyo nafikiri Mazingira au ukipenda plan B amekuwa akiiandaa muda mrefu.