USHAURI; zawadi ya birthday

USHAURI; zawadi ya birthday

Mujumba

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
853
Reaction score
306
Rafiki yangu wa karibu( msichana) sio mpenzi wangu lakini she is more than a friend to me ana birthday yake hiyo kesho tarehe 23 May, sina idea yoyote ya zawadi gani ya kumpatia! pse wadau naombeni mawazo yenu, nimpe zawadi gani ambayo itakaa kwenye memory yake kwa muda mrefu? karibuni
 
mnunulie saa nzuri hasa chapa ya gucci / chen na heren za gold or silver!
 
Kama hujawahi mnunulia zawadi basi tafuta zawadi ambayo yeye amekuwa akipenda kuitaja hata katika maongezi yenu,ukiwa kama rafiki yake wa karibu sidhani kama una haja ya kuomba ushauri juu ya zawadi gani kwani unajua nini anapenda na nini hapendi.
 
funga box...humo mnunulie weaving zurii..wallet,shoes,hereni na cheni,lip shine,miwani...perfum,simple dress ya out...chocolate,cookies,,and as long as she is more than a friend sina shaka na colour ama sizes...and fanya vilivyo ndani ya uwezo wako..si lazima vyote ivyo..goodluck
 
kama mwanafunzi mnunulia Laptop ma modem ya zantel
 
mpeleke zawadi ya miogo,jaribu kuifunga vizuri kwenye gift paper,alaf nunua card ya mapenz weka. ata furah sana kuona hizo zawadi. na uache mchezo wa kusema more than friend, unampenda ila ujui pakuanzia,its your chance now tumia.
 
More than a friend lakini sio mpenzi wako??kazi kweli kweli!
 
Mnunulie chain ya dhabu hata kusahau ooops nilidhani future wife kumbe ni rafiki tu...usimnunulie kitu 😛oa
 
u sound like u are below 25
unampenda hujui uanzie wapi
well mnunulie saa or a nice purfume
 
Mnunulie kitu Lamboghirni..

Nini Lamboghini Amnunulie, Bugati veryon Na si huyo mdada tu-hata wajukuu wake haitawatoka kwenye memory....Suala la kumake impression kwenye zawadi linategemea na How high can u fly?
 
Nini Lamboghini Amnunulie, Bugati veryon Na si huyo mdada tu-hata wajukuu wake haitawatoka kwenye memory....Suala la kumake impression kwenye zawadi linategemea na How high can u fly?
True tht..
 
Perfume nzuri na pensi nyanya ili akivaa awe amependeza.
 
Back
Top Bottom