ameline
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 2,292
- 1,149
Habari zenu wandugu.
Kuna wifi yangu nimeona jina lake ameitwa kwenye interview tarehe 7 huko Dar wizara ya afya na ustawi wa jamii..Ndo kwanza amejifungua jana tena kwa kisu sasa jamani naombeni kuuliza anawezaje kuipata haki yake ya kufanya hiyo interview kwa baadae maana kwa hali aliyonayo hataweza kwenda kwa tarehe hiyo.je kuna namna yeyote ataweza kusaidika au ndo imetoka hana lake.
Namuonea huruma jaman huenda ni bahat yake maana amefight sana kutafuta hata kuitwa kwenye interview sasa naona kama tumaini halipo naogopa hata kumwambia maana naona atapata presha akijua hatokwenda, wenye uzoefu jamani nisaidieni angalao nimtie moyo.