Ushauri ya Interview Utumishi

Ushauri ya Interview Utumishi

Songíto;9651289 said:
Sidhani kama utumishi watamsikia. Nilipata case inayofanana, niliitwa interview august mwaka jana lakini nilikuwa nnje kwa training. Niliwasiliana na utumishi lakini hawakuwa na msaada wowote... nikawapigia taasisi niliyopangiwa kuifanyia interview ikanambia niwasiliane na utumishi wao hawahusiki.. so kama hawezi kwenda, ajaribu wakati mwingine tu

duu ndo bas tena wacha nimtie moyo kuwa interview sio kazi
 
Back
Top Bottom