Ushauri ya Interview Utumishi

ameline

JF-Expert Member
Jan 8, 2013
2,292
1,149
Habari zenu wandugu.

Kuna wifi yangu nimeona jina lake ameitwa kwenye interview tarehe 7 huko Dar wizara ya afya na ustawi wa jamii..Ndo kwanza amejifungua jana tena kwa kisu sasa jamani naombeni kuuliza anawezaje kuipata haki yake ya kufanya hiyo interview kwa baadae maana kwa hali aliyonayo hataweza kwenda kwa tarehe hiyo.je kuna namna yeyote ataweza kusaidika au ndo imetoka hana lake.

Namuonea huruma jaman huenda ni bahat yake maana amefight sana kutafuta hata kuitwa kwenye interview sasa naona kama tumaini halipo naogopa hata kumwambia maana naona atapata presha akijua hatokwenda, wenye uzoefu jamani nisaidieni angalao nimtie moyo.
 
Habari zenu wandugu..
kuna wifi yangu nimeona jina lake ameitwa kwenye interview tarehe 7 huko dar wizara ya afya na ustawi wa jamii..Ndo kwanza amejifungua jana tena kwa kisu sasa jamani naombeni kuuliza anawezaje kuipata haki yake ya kufanya hiyo interview kwa baadae maana kwa hali aliyonayo hataweza kwenda kwa tarehe hiyo.je kuna namna yeyote ataweza kusaidika au ndo imetoka hana lake...Namuonea huruma jaman huenda ni bahat yake maana amefight sana kutafuta hata kuitwa kwenye interview sasa naona kama tumaini halipo naogopa hata kumwambia maana naona atapata presha akijua hatokwenda.
wenye uzoefu jamani nisaidieni angalao nimtie moyo.

Pole yake, maana ndio nitolee hiyo. Asikate tamaa aombe tena wakitangaza
 
Mi nafikiri ana haki ya kusikilizwa na kupangiwa siku nyingine kutokana na hali aliyonayo, cha msingi tafuta namna ya kuwasiliana na watu wa utumishi kuona namna watakavyoweza kumsaidia, wao ndio wanaweza kukupa jibu sahihi.
 
acha kumdanganya mkuu
 
7 june, nyuzi atakuwa ametoa kama hayupo mbali sana na dar aje kuna dada yangu aliitwa interview ya oral ana wiki toka ajifungue nae kisu sababu ni dar akaenda na amepata kazi, alianza kazi mtoto ana mwezi mmoja
 
unamlisha sumu hizo,mimi nipo hpa mjengoni ndiyo kazi zetu hizi hatuna utaratibu km huo
 
Mi nafikiri ana haki ya kusikilizwa na kupangiwa siku nyingine kutokana na hali aliyonayo, cha msingi tafuta namna ya kuwasiliana na watu wa utumishi kuona namna watakavyoweza kumsaidia, wao ndio wanaweza kukupa jibu sahihi.

asante ndugu ndo najitahid kuwapigia ndo hivyo hawapokei..
 
7 june, nyuzi atakuwa ametoa kama hayupo mbali sana na dar aje kuna dada yangu aliitwa interview ya oral ana wiki toka ajifungue nae kisu sababu ni dar akaenda na amepata kazi, alianza kazi mtoto ana mwezi mmoja

Yupo Arusha ndugu
 
Kama ni hizo za ustawi wa jamii ajitahidi ahudhulie kwa sababu wanatangaza kila baada ya miaka 3. So akiikosa hii asubili 2017.
 
Sidhani kama utumishi watamsikia. Nilipata case inayofanana, niliitwa interview august mwaka jana lakini nilikuwa nnje kwa training. Niliwasiliana na utumishi lakini hawakuwa na msaada wowote... nikawapigia taasisi niliyopangiwa kuifanyia interview ikanambia niwasiliane na utumishi wao hawahusiki.. so kama hawezi kwenda, ajaribu wakati mwingine tu
 
Ajitahidi aende hvyo hvyo c rahc kumsikiliza ukichukulia kwamba wote walio itwa intervw wana vgzo sawa na nia ni kupunguza w2 ili wabakie na wacheche.
 
Kama ni hizo za ustawi wa jamii ajitahidi ahudhulie kwa sababu wanatangaza kila baada ya miaka 3. So akiikosa hii asubili 2017.

kumbee namm nlitaka kumtia moyo ajaribu teba mwakani? ni hizohizo za ustawi wq jamii ndugu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom