Habari zenu wanajamvi....Nnampenzi wangu almost 3yrs tangu tuwepamoja..bt hajawai kunipeleka anapoishi hata mara mja na nnapomuuliza ananijibu kuwa"pale ni kwako na ipo cku utaenda na kufulahia na jua kwamba nakupenda na wewe ni kama mke wangu"!!na nnajua kila kitu kuhusu maisha yake ya nyuma kuwa anamtoto na anaishi na mama ake na anapokaa hyo mwanamke wake wa mwanzo na mtot napafahamu...bt tatizo ni kwamba kila nnapomwaleza kuhusu kwenda kwake ananipigisha kalenda....so swali langu ni kwamba je kweli ananipenda kwa dhati kama anavyodai au kunakitu ananificha!na hana mpango na mimi??msaada wenu wanajamvi natumai ushauli na c kejeli.
mnhhhhhhhhh
deprettyn aidha huyo mtu
- hana pakukupeleka yaani hana kwake au
- kwake hajaweka sawa yaani anaona aibu hata kukukaribisha isije kuwa analala kwenye kigodoro chini au
- hana future na wewe anakutumia tu!!
- Usisahau kuna asilimia 85% ya kwamba sio mkweli ...So cha kufanya ni ujaribu kuchunguza je ayasemayo ni kweli kuwa anasehemu ana ishi?Na kama anayo je kwanini hakupeleki?Kuna mtu anaishi nae?
Sorry, kwa mfano mkitaka kukutana faragha hua mnakutana wapi?
Am such a bad girl..........
Mbona tunatishana bana!
si for what I did...au ushasahau
muda gani tena....3 years bado unaendelea tu kusubiri
Kweli kila shetani na mbuyu wake...
Heee! Kwa hiyo huwa mnafanyia "maongezi" wapi?
Miaka 3 hujui anapoishi!!!!!! Mh kweli tupo tofauti.
Vumilia nadhani kwa muda ulovumilia huo basi bado kama miaka 2 upajue kwake. Si unaona ulikotoka ni mbali kuliko unakoenda kuwa mvumilivu
Mashetani ya digitali mpaka kwenye mipapai yanakaa