malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 2,780
- 2,706
Mimi nimeoa takribana miaka3.9 sasa mimi na mke wangu tunaishi nyumbani kwa wazazi wangu kwa miaka yote hii tangu tuone hadi hii leo kilichonileta kwenu JF hivi.
Wiki tatu zilizopita mdogo wangu alikuwa anaoa na baada ya kuoa tunaishi nae hapa nyumbani yeye na mke wake mdogo waliolea mkoa mwingne hivo basi wakati wa harusi biharusi alisindikizwa na somo yake kwa hiyo nae somo tulikuwa nae ktk nyumba hii sasa baada ya kumtawisha kesho yake somo akahitaji kwenda kumnunulia vitu sokoni biharus ikabid mama yngu mzazi amwambie mke wangu msindikize sokoni sasa kwa maelezo ya somo wakati wanaenda sokoni mke wangu akawa anamuelezea somo mambo ya nyumba hii kuhusu wakwe akawa anamwambia kuwa hawa wakwe ni wabaya wanaroho mbaya wananinyanyasa sjui kama ndgu yenu ataweza kuishi humu ndani basi somo anasema hakuongea chochote.
Baada ya somo kuondoka kurudi kwao somo alimfuata mshenga wetu waharusi ambae alikua anatuwakilisha huko akamuelezea yoote alioambiwa na mke wangu kuhusu wakwe zake.
Yule mshenga ambae ni ndgu ikabid ampigie sim kumuelezea hizo habari mke wangu,mke wangu akakataa katakata kuongea akabaki analia tu nakuna maneno mke wangi akamwambia mshenga hakuyapenda hiyo alimwabilia kwa sms ikabid mshenga akawaelezea wazazi yoote alioambiwa na somo ikabid tuweke kikao ambacho skua najua nicha nini ila wazazi tayar inaonekana walikua washakaa wenyewe wameonge ila kikao ikawa nikufahamishana mambi ya ndani yasiwe yanatoka nje wala nje yasiwe yanaingia ndani
Sasa baada yakikao mke wangu akawa mnyonge sana akawa najitenga na mama mkwe wake na pia akawa anjitenga na mke mpya wa mdogo wangu hivyo ikapelekea wazazi kuona mabadiliko yake hayo yoote yanatokea hakuwahi kukaka au kuwaomba wazazi wangu wakae waongee nae kuhusu hizo habari zikoje koje lakini mke wangu walaa hana habar wakuwaza kukaa.
Mambo yakawa yanaendelea kumbe nje akienda kuhemea sokoni mke wangu anawahadhia wamama wasokoni kuwa amezushiwa mambo kwamba amewasemea wakwe zake kwa watu kuwa wa roho mbaya wanamtesa hayo mambo kumbe wale wanohadithiwa nao wanayaleta wanaambia ndgu zangu na hata baadhi wanamwambia mama yangu juu ya hayo maneno kuwa wanamtesa wanaroho mbaya na siku akihama kwenda kwake atafanya sherehe
Ikawa sasa mke wangu anajitenga nawazazi wangu na pia anajitenga na mke mpya wa mdogo mim binafsi hali hiyo niliiona nkawa nambembeleza sana kwa upendo anambie lakini katakata kagoma kunambia kulikoni zaid anakua nikulia mda wote analia tu.
Baada ya siku tatu hivi tena akiwa anatokea sokoni mke wangu akiwa kashika kitu mkononi akakutana namama yangu,mama akamuuliza hiko nin mke akasema kitenge cha harus ya jirani mama akamwambia kwa hiyo utakua unashona sare kila harusi utakayo alikwa maisha hayako hivo mwanangu usiwafurahishe watu kwani ukihudhuria nakutoa mchango utapungukiwa nini maana harus yetu haijapita wiki mbili tumeshona majuzi hapa kwa jirani umevaa sare na leo unaenda tena kushona sare ya hiyi harus ya mtaa wa tatu sasa maneno yakamwingia mke wangu hakupenda hakufutahishwa na hiyo nasaaa..kumbe baada ya masaa matatu nyumbani walikuepo bado wapo wageni wakike waupande wa baba yngu waliokuja kwenye harusi ambao mke wangu alikua nao karibu sanaa akafika anawahadithia kimafumbo kuwa kuna watu hawapendi hela zao kuliwa wanuchungu na hela zao kumbe mama alikua chooni anaskia kutoka nje baadae akawauliza wale ndgu kuwa mlikua mnaongea nini wakamuhadhithi yote baadae mama kumuliiza akasema nikweli niliyasema baada ya sku tatu tena mke wangu akaenda kumwambia shangazi yangu tunaishi nae jirani akamwambia kazushiwa mambo juu ya wakwe zake hapo hali yakua mke wangu hata hajakaa na wazazi wangu kuwaelezea ikoje ikoje hiyo kitu zaid anayapeleka nje kwa watu
Sasa wakati kabla ya harus ya mdogo wangu kulikua na sakata zito sana linalomuhusu mdogo wangu na hawala ambae alimpelekea mdogo wangu kfanya ubadhilifu mwingi sana wahela sasa mdgo wangu alikua anataka amuoe huyo mtu sasa sisi tukaona hamfai nayuko kimaslahi kumbe ktk vikao vyoote tuanavyokaa mke wangu kumbe anayatoa nje tunayaskia kwa watu ambao nimashoga zake na baaadhi ya watu amekuoa nao karibu ukifuatilia kiundani unakuta yanakweli kabisa maana vikao tulikua watu wachache muhimu nayeye akiwemo
Ikabidi mimi nianze uchunguzi wangu ktk uchunguzi wangu kuna sku nlimuomba sm yake nipige picha document nkasema ngoja niperuzi nikakutana na sms nyingi sana ambazo alikuwa anachati na huyo hawala wa mdgo wangu ambae familia nzima tunampiga vita kumbe mke wangu yeye akawa anamuhadhia yoote na sms nying akawa anampa ushauri nahata kudoza mambo au tabia za wazazi wangu kwahuyo mwanamke.
Nkajiuliza huyu vip mtu amabae sis tunampiga vita alafu ndo achati nae mda wote siku nkakaa nae nakamuelezea kuwa ww huwa unamwasiliano na mtu flani maana anatangaza habari zote za humu ndani anazipata lakini mke wangu alikataa katakata wakat minajua fika wanawasiliana
Vile vile ktkt vikao vya sisi wandani tu tulivyokua tunakaa nae akiwemo kujadili harus mamabo tunayojadili baada ya muda utayaskia nje ukiyaangalia unakuta anahio tabia
Pia lingine nimemchunguza kwa kina amekua simchungu sana wahela anatumia sana kuvaa hakuna hata siku ananishauri mambo ya msingi kimaendeleo zaid yakuzungumiza habari za watu
Pia maekua natabia yakupita kwao mara kwa mara maana kwao nimtaa watatu kutoka tunapoishi yaani hata awe anaenda sehemu ya juu napalipo kwao lazima atapitia kwao pabila sababu yoyote hakuna anaeumwa kwao na sm zipo.
Tangu masakata yoote haya amekua mtu wakunilazimisha kuhama hali yakua nimemuelezea hali halisi.
Jingine kubwa tangu tuoanae hajawahi kukaaa na mim kunielezea matatizo yake anayoyapitia zaid huwa nikiondoka tu atatuma sms nyingi sana zakulaumu lakini nkirudi nkimbembeleza tuongeee hakubali katakata ye amekua nimtu wakunambia mlalamiko yake kwa sms nasi kwamazungumzo yamdomo anakwa ana mim nayeye
Niishie hapo wanajamiiforum naombeni mawazo yenu katika hili