Ushauri wenu wana JamiiForums

Ushauri wenu wana JamiiForums

6alfabet

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
389
Reaction score
69
Hodi jamani ushauri wenu mwenzenu sijui niseme ni kaugonjwa au ni nini?
Mimi ni mwanaume/bado kijana tatizo langu ni kwamba tangu nimeyajua mapenzi sijawai kuwa na mpenzi kama si mchumba wakusema nikijisikia au kushea nae kwa jambo lolote ama nikimuhitaji mda wote nakuwa nae

Kiukweli napata sana shida napo ona kila mtu ana mtuwake nataman nami iwe ivo lakini ndo ivo tena tatizo nipale nisha shikwa na ''mshindo'' alafu waku mtolea uvivu ni emty napia nimejikuta sina mzuka na vijana wenzangu na sitaki kuwaona kabisa hisia zangu ni kwa wamama tu napata shida sana wadau na inapita miez sija nanii kabisa zaidi ya kuchafua mashuka tu.

Angalizo ni mwanaume nilie kamilika ushauri wenu jamani.
 
Waombe Mods waedit title sio hushauri ni Ushauri

Hushauri = Ushauri

cc faiza Foxy
 
Last edited by a moderator:
hodi jaman ushaur wenu mwenzenu sijuh niseme ni kaugonjwa au ni nini.....? mm nimwanaume/bado kijana tatizo langu ni kwamba tangu nimeyajua mapenzi sijawai kuwa na mpenz kama si mchumba wakusema nikijisikia au kushea nae kwa jambo lolote ama nikimuhitaji mda wwote nakuwa nae kiukweli napata sana shida napo ona kila mtu ana mtuwake nataman nami iwe ivo lakini ndo ivo tena tatizo nipale nisha shikwa na ''mshindo'' alafu waku mtolea uvivu ni emty napia nimejikuta sina mzuka na vijana wenzangu na sitaki kuwaona kabisa hisia zangu ni kwa wamama tu napata shida sana wadau na inapita miez sija nanii kabisa zaidi ya kuchafua mashuka tu. angalizo nimwanaume nilie kamilika ushauri wenu jamani.....*^_^*

una umri gan na unaish wap? au mtoto wa mama?
 
utakua kamugisha weye mana wao panapotakiwa h...hawaweki pasipotakiwa h wanaweka..."hushauri" tehetehe
 
pole unataka jimama kenye umri kama mingapi????udhaeah kuwa nao??
 
Back
Top Bottom