Wakuu Naomben Ushauri wenu wa Hekima kabsa kwenye Hili...

Karimu123

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
244
114
Habarin wakuu
Naomb Bila kumumuonya maneno niende moja kwa zote kenye mada yangu..Niko na Msichana yakaribia mwaka sasa lakin naona kama kumkinai kwa tabia zake.

Moja mim ni mtu ninae jal sana anaeza kuniambia shida yake nikawa na sh 5 lakin ntampa mahitaji yake yote najitahid kumfanyia sio kwamba nina hela hapana lakin ni katika hali ya kuhakikisha mwenzangu natatua shida ndogo ndgo lakin kwanza sio mtu wa kushukuru unaeza mpa hela ya mafuta saloon anasema tu Asante sijui mafuta asante ndo kimeishia apo...

Nimepanga nakaa mwenyew tu lakin kwanza sijawah kumuona ata siku moja nije nikufulie ama nije nikupikie licha ya kwamba nafanya kaz sana nakosa ata mda wa kula sometime niende road nikale nikimwambia nakunywa ni ugomvi utasikia usinilaumu baadae sijui nin kwa vile nimekunywa sasa naona kama kucontrol kwa kipambavu hela yangu lakin naona anatak nikishapata nimsolve mahitaj yake tu niendelee nisirudishe ata afya kwa kujibudirisha siku moja na sio kama ni mtu wa kuja ghetto mara kwa mara mara anaeza kuja mara mbil kwa mwez na kama unavyojua lzm achelewa saa kumi utamla viwil icho cha tatu anakwambia nimechoka siku ingine unavumilia week kadhaa apo ataingia kenye friji mbona friji chafu sijui umefua lini mbona ivi sasa naona msaada wake siuoni kbs kwanza zaid ya ilo penz unalopewa tena ndo hivyo kuchelewa sababu za kijinga nying tu sio kama nina demu mwingine i hit one until we are done nimeshaongea nae sana kuhus kuwah lakin kila siku ni sbb mpya mpya naojiona kumchoka sana...

Aliniambia anatak kufungua biashara ya saloon lakin napata ukakasi sana kumsaidia naona ataanza kuniambia niko ivo niko ivo anaeza kunitumia kama daraja au siku nikanywa pombe ndo akasema ndo iwe mwisho wangu na wew huku nimeshatumia gharama juu yake nkawa nimlooose vby mno rasilimali mda na pes zangu naomb ushaur wenu na polen kwa essay isiyokuw na nukta wala mkato

Nawasilisha
 
jamanu au umesahau?? si tuliambiana sisi kwa sisi kuwa kuanzia juzi ttuanze kuishi nao hawa viumbe kwa akili??
 
Kaka em edit kidg uandishi wako japo hata mimi sio muandishi mzuri hata kidg ila nakuomba uache angalau nafasi tu ili tusipate shida kusoma
Pia ushauri wangu ni kwamba wewe ni mwanaume hapo huyo demu anakupima kwanini usimpige biti mpaka ajione mdogo kama piriton?
Simama kama mwanamme mwambie hii tabia sipendi ili ajirekebishe na ukiona habadiliki achana naye.
 
Hujui kuandika
Habarin wakuu
Naomb Bila kumumuonya maneno niende moja kwa zote kenye mada yangu..Niko na Msichana yakaribia mwaka sasa lakin naona kama kumkinai kwa tabia zake.Moja mim ni mtu ninae jal sana anaeza kuniambia shida yake nikawa na sh 5 lakin ntampa mahitaji yake yote najitahid kumfanyia sio kwamba nina hela hapana lakin ni katika hali ya kuhakikisha mwenzangu natatua shida ndogo ndgo lakin kwanza sio mtu wa kushukuru unaeza mpa hela ya mafuta saloon anasema tu Asante sijui mafuta asante ndo kimeishia apo...Nimepanga nakaa mwenyew tu lakin kwanza sijawah kumuona ata siku moja nije nikufulie ama nije nikupikie licha ya kwamba nafanya kaz sana nakosa ata mda wa kula sometime niende road nikale nikimwambia nakunywa ni ugomvi utasikia usinilaumu baadae sijui nin kwa vile nimekunywa sasa naona kama kucontrol kwa kipambavu hela yangu lakin naona anatak nikishapata nimsolve mahitaj yake tu niendelee nisirudishe ata afya kwa kujibudirisha siku moja na sio kama ni mtu wa kuja ghetto mara kwa mara mara anaeza kuja mara mbil kwa mwez na kama unavyojua lzm achelewa saa kumi utamla viwil icho cha tatu anakwambia nimechoka siku ingine unavumilia week kadhaa apo ataingia kenye friji mbona friji chafu sijui umefua lini mbona ivi sasa naona msaada wake siuoni kbs kwanza zaid ya ilo penz unalopewa tena ndo hivyo kuchelewa sababu za kijinga nying tu sio kama nina demu mwingine i hit one until we are done nimeshaongea nae sana kuhus kuwah lakin kila siku ni sbb mpya mpya naojiona kumchoka sana...Aliniambia anatak kufungua biashara ya saloon lakin napata ukakasi sana kumsaidia naona ataanza kuniambia niko ivo niko ivo anaeza kunitumia kama daraja au siku nikanywa pombe ndo akasema ndo iwe mwisho wangu na wew huku nimeshatumia gharama juu yake nkawa nimlooose vby mno rasilimali mda na pes zangu naomb ushaur wenu na polen kwa essay isiyokuw na nukta wala mkato

Nawasilisha
 
Ongea naye kama una malengo naye ya maisha. Mwambie nini unataka na nini hutaki Mpe nafasi na yeye aongee Kama ana hekima utapima na mtajadili,

Baada ya kuongea akiendelea kuwa kichwa ngumu mtenge akirudi muweke sawa Kama anakupenda atabadilika..

Kupeana hela nyingi kabla hamjaoana si vizuri kwa mwanamke au mwanaume ili kuepusha majuto pindi mmoja akimtosa mwingine, kumbuka urafiki ni rahisi kuvunja kuliko ndoa. Na ndoa ikivunjika kila mmoja atapata haki yake kadiri alivochangia.
 
Bora ungeandika kwa kizungu tu maana naona hiki kiswahili chetu sio lugha yako kabisa.
 
Kaka em edit kidg uandishi wako japo hata mimi sio muandishi mzuri hata kidg ila nakuomba uache angalau nafasi tu ili tusipate shida kusoma
Pia ushauri wangu ni kwamba wewe ni mwanaume hapo huyo demu anakupima kwanini usimpige biti mpaka ajione mdogo kama piriton?
Simama kama mwanamme mwambie hii tabia sipendi ili ajirekebishe na ukiona habadiliki achana naye.
Asante sana dada nime edit kiasi na asante kwa ushaur wako ni jazba tu ninayo
 
Kwa uandishi huo mmmh!!

Kweli wanawake tuna huruma saana.
ingekuwa hivyo tusingekuja kuomb ushaur uku time unashikwa na jazba unaona sana what is this sidhan kama nadeserve haya yote

Kuandika ni jazba tu
 
Akili yako imefikilia vema, matokeo yatakayokuja kutokea,
Kubaliana na hali, hata kama unahisi utamisi mapenz yake kadhaa amini tu utapata mpenzi mwingine kama Marioo_Raha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom