Ushauri wenu wakuu

Tukishamaliza kuhangaika kumsaka Ndugu yetu Kipenzi Roma Mkatoliki tutakuja huku kukupa majibu yako ' mujarab ' kabisa. Vuta ' subra ' Wewe ' penda penda '.
Roma ni nani?
 
Oooh mujini hapa hukunaga ushemeji watu wanakulaga tu
Ningekupenda wewe ohooo. Hadi malaika wa kheri wangesifu kwa mapambio.

Sasa hizo like wengine si unakuta mashoga zako..dada.. mashemeji.. binamu..rafiki zake na rafiki zake rafiki yangu.
 

Teh. anadai hawana future yeye ndiyo anajua nikimtazama ni kama mkweli lakini naogopa.nilimwambia kama yupo serious aende home kwa wazee akasema ni mapema muda ukifika ataenda. Naogopa sana kumuweka moyoni


Sasa unaposema unaogopa sana kumuweka moyoni wakati MAELEZO yako na alot of effort unazotumia ni ishara wazi umeshajaa ndani ya box, kuanzia kutafuta ushauri nk, huoni kabisaaa tayari jamaa ameshaubeba moyo wako, maana hakuna sehemu nimeona umemkosoa kila sekta umempa tiki na vigelegele juu
 
Huyo tabia yake kama muuza supu, mbuzi akifa tu anafanya supu. Pole yako itakuwa(mwenye kukupenda kikweli hata awe kwenye kikao basi atapokea cm yako au atatuma text kuwa yupo kikaoni). Kuzima simu akiwa na kimada ina maana wapo wengi zaidi ya mchumba, wewe na wengine.



Ndukiiiii
 
Daaah nacheka kama mazuri vile...
1. Mitoko ni kwa tahadhari ya juu sana msije mkaonekana... Na nani?? (hakuna mapenzi)

2. Utasemaje siyo muongo mungo wakati number 1 tayari ni doa mnavichana... Ili iweje?? (hakuna mapenzi)

3. Yupo busy sana.. Hapigi simu siku nzima. Visingizio kibao vya i will call you back. Tunarudi kwanye number 2. Tayari ni muongo muongo... Kwa maelezo yako siyo kweli yupo busy ni matter of priority... Siku nzima hata message??? (hakuna mapenzi)

4. Mkionana anazima simu... Maana ya anakuficha mengi sana ambayo hataki ujue... (hakuna mapenzi)

5. Anadai atakuoa... Ni uongo.. Anakutumia/ mnatumiana. (hakuna mapenzi)

6. Kwa matendo yake ni player mkubwa sana.. Haupo peke yako mmepangwa foleni kila mtu anasiku zake na muda wake...

7. Do it for your own risk. Do it for the sake of sex, shopping na mambo madogo madogo... Follow your heart ila inaonekana umesahau to carry your brain with you.




Cc: mahondaw
 

Lol umenichekesha kweli mylove dash dash dash hakuna mapenzi dash dash dash hakuna mapenzi
Ofcourse mtoa mada tayari keshazama kwahuyo mtu na keshamuelewa vilevile
The problem nikwamba kaacha akili nyuma
 
Baada ya kufanyiwa shopping ukaona una pendwa?? Wangapi anawafanyia shopping ?? Kwanza usha sema anamchuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…