Ushauri wenu wakuu

Nipe nafasi hiyo kisha kwa kibosile tule pesa tu sie.. Maisha mtelezoo kama tumekanyaga ganda la ndizi alafu tupo kitonga.. Watatuokotea kwa madiba
Sipendi kuudanganya moyo nikipenda napenda kama sikupendi nakwambia ondoka
 
Kwani haujui kuigiza mkuu.

Nenda bwana kwanza ni mbunge wa chama gani maana kuna wabunge wa vyama fulani masnitch.
Hahah sijasoma Sanaa mie apo kwa chama achana napo
 
Avatar yako hb wewe mwenyewe halisi utakua hb zaidi

Weuweee kwangu ungekula za uso na threads mia kidogo ungenianzishia. Bora umebadilika vizuri
Hivi mimi HB kumbe?

Haya kaweke vilike hivyo sema sasa hivi nimebadilika 2015 ilikuwa ke akinilike naenda kumtongoza.
 
Aah kwa hio unadhan ningekukubali wakati post moja una like zaidi ya kumi ooh hooo si kujiteka makusudi huko
Ningekupenda wewe ohooo. Hadi malaika wa kheri wangesifu kwa mapambio.

Sasa hizo like wengine si unakuta mashoga zako..dada.. mashemeji.. binamu..rafiki zake na rafiki zake rafiki yangu.
 

Tukishamaliza kuhangaika kumsaka Ndugu yetu Kipenzi Roma Mkatoliki tutakuja huku kukupa majibu yako ' mujarab ' kabisa. Vuta ' subra ' Wewe ' penda penda '.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…