Huyo mtoto sijui hapendi kunipa like zake wakati mimi nazipenda.Ooh waoow kumbe kaugonjwa ka kupenda like tunako wengi
Teh. anadai hawana future yeye ndiyo anajua nikimtazama ni kama mkweli lakini naogopa.nilimwambia kama yupo serious aende home kwa wazee akasema ni mapema muda ukifika ataenda. Naogopa sana kumuweka moyoniSasa umukagame si anamchumba wake mama? Kama upo willing kuwa wa pili chukua.
BTW, nilishapanga kutuma maombi kwako, sema kusimama show moja na mbunge sina huo uwezo.
Nipe nafasi hiyo kisha kwa kibosile tule pesa tu sie.. Maisha mtelezoo kama tumekanyaga ganda la ndizi alafu tupo kitonga.. Watatuokotea kwa madibaNikiwa katika kipindi kigumu cha kuwa peke yangu na vishawishi vingi
Kuna mheshimiwa mmoja Kijana ni rafiki yangu tulikutana nje ya nchi wote tukiwa safarini mawasiliano ndiyo yakaanzia hapo.
Amekuwa ni mtu mwema kwangu kwa kipindi hiki maana mwanzo wa kufahamiana sikupenda ukaribu nae kivile ukicheki nilikuwa nimeshazama kwa the x guy ile ya sanaa.nikawa nampotezea na kumkwepa.
Siku za karibuni nikajisogeza kwake baada ya kuwa lonely sana..jamaa akafurahi shopping anasimamia sana mitoko ni kwa tahadhari ya hali ya juu tusijeonekana (Jamaa ana mchumba na mtoto juu)
Ameniahidi mambo mengi sana na anatimiza siyo muongo muongo akisema no ni no kweli.
Tatizo moja tu ni kwamba yupo busy anaweza asipige simu whole day mara nipo bungeni...nina kikao i wll call back kiukweli yupo busy sana sana pia hayupo romantic na nilivyozoeshwaga.
Ila tukionana anazima simu zake ananisikiliza na mie namsikiliza.
Anadai atanioa. Mengine niachane nayo anajua yeye mwenyewe
Ananipenda na ananiamini sana it seems siyo player. Nawaza nimpende japo teyari ndo hivyo tena.naogopa nisijemuweka moyoni nikaja kujuta tena.
Wakubwa kama una ushauri juu ya hali hii nisaidie.
Matusi hapana
Huyo mtoto sijui hapendi kunipa like zake wakati mimi nazipenda.
Umelike lakini hapo juu?
Kwani haujui kuigiza mkuu.Teh. anadai hawana future yeye ndiyo anajua nikimtazama ni kama mkweli lakini naogopa.nilimwambia kama yupo serious aende home kwa wazee akasema ni mapema muda ukifika ataenda. Naogopa sana kumuweka moyoni
Umeshauri or unanilaaniKumbuka ukiiba cha mwenzio ipo siku na wewe utaibiwa. Hapa unataka tukushauri mbinu za kumkamata zaidi akusikilize wewe awe wako milele,vipi mtoto alienae kwa mchumba wake hauna huruma kabisa. Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie.
yes... why not...!!!Do you think Nina time ya kupoteza kusema nonsense?
Hivi mimi HB kumbe?[emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nikalike niweke historia kwenye profile ya hb daby