Hatukuoana alikuja tu kwanguHofu yangu kaka utapunguza Hatari ya bintiyo kuharibikiwa kama utamtoa hapo.....hivi na haupo what if anaingiza wanaume ana lala nao huku bintiyo anaanza kuona....
epusha Hatari hiyo sababu kama wife huko kwao kuna tatizo hilo la prostitute pengine nae alikuwa muhanga kwa aliyoyaona wakati mdogo Kwa nduguze
Mlioana kanisani au mliamua kuishi pamoja tu?
Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
Mkuu poleeee hebu jaribu kuomba custody ya huyo kijana wetu 4 interest of our kid but make sure unarekod zinazo how mmy is in competent to rise a childHabari wakuu
Kuna dada mmoja nilikuwa naishi nae kama mwaka bila kufunga ndoa Yale mapenzi ya sogea tuishi. Kwa bahati nzuri akapata mimba na kujifungua mtoto ingawa kiukweli mimi sikuwa na nia ya kuishi nae baada ya kuwa tabia zake ni za ovyo sana.
Siku moja nilikuta mazungumzo ya kurekodiwa ya kimapenzi kati yake na mwanaume ktk simu yake. Pia niliwahi kumsikia akiongea na hawara yake ktk simu.
Baada ya mambo kuwa hivyo nikaacha kila kitu na kuamua kupanga sehemu nyingine ila bado nahudumia kila kitu kuanzia chakula, nalipa kodi na mahitaji mengine ya mtoto. Ili mtoto asipate shida nimeajiri house girl baada ya yeye kuwa anazurura
Nina miaka 2 sasa sifanyi nae mapenzi na yeye huondoka na kurudi muda anaotaka. Siku nyingine mfano leo analala huko huko anarudi asubuhi.
Kinachoniuma ni mimi kumlipia kodi kumlisha na bado dharau hizi anazoonyesha. Anasema mtoto atamgawa na kumpa mwanaume mwingine na mimi sipendi mwanangu apate shida. Yeye hawezi tunza mtoto maana hata familia yao ni balaa tupu.
Wakuu nishaurini namna ya kumuokoa mtoto na mimi kuishi kwa furaha
Asante mkuuMkuu poleeee hebu jaribu kuomba custody ya huyo kijana wetu 4 interest of our kid but make sure unarekod zinazo how mmy is in competent to rise a child
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Mfanye starehe zenu mtotoe watoto mkawatese mama zenu.[emoji15] [emoji15] mnaraha! Mama yangu atanitoa mbio na toto langu!Mchukue mtoto mpeleke kwa mama yako,
Kwisha kazi
Labda huelewi maana ya neno familia, huyu binti umeishi nae ndani ya mwaka sasa na mna mtoto mmoja sasa hiyo tunaitaji kama sio familia? Kwa hiyo kwasababu huyo binti hajawa mke basi sio familia? Tulia mkuu tatizo una mawazo yako hata ukishauriwa haisaidii..Hujanipata mkuu Mimi sio mke wangu nimezaa nae tu
Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
Hayo ndiyo mazao ya uzinifu.Habari wakuu
Kuna dada mmoja nilikuwa naishi nae kama mwaka bila kufunga ndoa Yale mapenzi ya sogea tuishi. Kwa bahati nzuri akapata mimba na kujifungua mtoto ingawa kiukweli mimi sikuwa na nia ya kuishi nae baada ya kuwa tabia zake ni za ovyo sana.
Siku moja nilikuta mazungumzo ya kurekodiwa ya kimapenzi kati yake na mwanaume ktk simu yake. Pia niliwahi kumsikia akiongea na hawara yake ktk simu.
Baada ya mambo kuwa hivyo nikaacha kila kitu na kuamua kupanga sehemu nyingine ila bado nahudumia kila kitu kuanzia chakula, nalipa kodi na mahitaji mengine ya mtoto. Ili mtoto asipate shida nimeajiri house girl baada ya yeye kuwa anazurura
Nina miaka 2 sasa sifanyi nae mapenzi na yeye huondoka na kurudi muda anaotaka. Siku nyingine mfano leo analala huko huko anarudi asubuhi.
Kinachoniuma ni mimi kumlipia kodi kumlisha na bado dharau hizi anazoonyesha. Anasema mtoto atamgawa na kumpa mwanaume mwingine na mimi sipendi mwanangu apate shida. Yeye hawezi tunza mtoto maana hata familia yao ni balaa tupu.
Wakuu nishaurini namna ya kumuokoa mtoto na mimi kuishi kwa furaha
Wanaume hamna maana[emoji57] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji125] [emoji125]Sio hivyo jovitha
Ungekuwa dadangu
Ungenihurumia
Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
Mkuu
Do you think life is a straight line!!?you must be kidding
Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
kwani korodani zako zimeishiwa mayai mkuu?Mkuu hataki kunipa mtoto anasema nikimuacha sina changu
Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
Mkuu nataka kuoa mke mwingine ili aishi Na mtotomchukue dogo mpeleke kwa mama yako na maid wako kasaidie kwenu huyo anakufanya ATM
πππππππππ
Sio kweli ni tabia yake ambayo aliificha kabla ya kuzaa Na mm aliachika ktk ndoa akiwa kazaa watoto 5isikute wew ndo umesababisha yeye kuwa ivyo uliishije na Malaya mpka kumpa mimba embu mpe kila kitu uone kama atachepuka wew utakuwa umemtelekeza kapata boyfrend mpya wivu unakusumbua sasa toa matunzo ya mtoto ndo zenu wenza wenu wakipata mtu