Ushauri wenu wakuu nimefikwa

Mkuu umenipa moyo Na kunijenga kimtizamo huo aisee ni njia bora ingawa inabidi umsahau mtoto kwa muda

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu maneno yako makali sana

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
 
Woyowoyo umeshapata kpya cha zamani kinanukaa
 
Reactions: B40
Nenda kwao ulipie kumkubali MTT, halafu mchukue,mwanamke mwache huru

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: B40
Nenda kwao ulipie kumkubali MTT, halafu mchukue,mwanamke mwache huru

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
Nilipie nn mkuu

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
 
Kwani kwa wazazi wake unahamika rasmi? Kama sio Na mwanamke humuoi Na unataka kuchukua mtoto lazima ulipe ndo umchukue rasmi

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: B40

Boss huyo mtoto wako ni wakike au wakiume halafu ana umri gani
 
Reactions: B40
Mkuu nimepanga sehemu ingine umbali Wa dakika 10 pia huwa nakula hapo ili kupunguza gharama Ila silali hapo

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
Kosa kubwa unalolifanya ni la kukaa mbali na familia yako, wanaume hatususi ila huwa tunakomaa mpaka dakika 90,ukikaa mbali nae unaongeza msongo wa mawazo na utazidi kuwa katika hali mbaya zaidi na usitegemee atakuheshimu kwasababu umeikimbia familia, halafu wewe mwenyewe hujasimama imara, pia usihusishe mambo yake na ya familia yake, muweke kati be like aman not aboy mwanamke anapenda mwanume mwenye misimamo. Mwambie wee tulia....
 
Reactions: B40
Lakini pia wanawake wanachangamoto zao ukikutana na kichwa kibovu aisehhh utaona dunia nzima inakuangukia limzigo..... Hakuna utakachofanya kitaenda
 
Hujanipata mkuu Mimi sio mke wangu nimezaa nae tu

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
 
Wa kike ana miaka miwili Na miez 4

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
Hofu yangu kaka utapunguza Hatari ya bintiyo kuharibikiwa kama utamtoa hapo.....hivi na haupo what if anaingiza wanaume ana lala nao huku bintiyo anaanza kuona....

epusha Hatari hiyo sababu kama wife huko kwao kuna tatizo hilo la prostitute pengine nae alikuwa muhanga kwa aliyoyaona wakati mdogo Kwa nduguze

Mlioana kanisani au mliamua kuishi pamoja tu?

Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: B40
Daaah kweli nimemini ukiona watu wameishi muda mrefu kwenye mahusiano ujue mmoja kajifanya mjinga [emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji45]

Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
 
Reactions: B40

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…