Ushauri wenu wakuu nimefikwa

Ushauri wenu wakuu nimefikwa

Kama ana uwezo wa kumpa mwanaume mwengne mwanao means ana uwezo wa kukurudishia mwanao hata wewe,
Chukua dada wa kaz na mwanao watunze mwenyewe ila chonde chonde huyo house girl usje kumfanya mkeo tena.
Bonny asante

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
 
Baadhi ya wavulana kama wewe ndo mnaotuangusha wanaume. Hizi ni siri za ndani. Kama wakati wa kuamua kuishi na hatimaye kuzaa naye hukutushirikisha ni vema na matokeo uyabebe mwenyewe.
Mkuu ndio maana naomba unishauri

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
 
Ungeomba ushaurii kabla hujaamua kuishi na mwanamke kutoka katika familia ya Malaya ingesaidiaa lakini sahivi wewe nimzazi mwenzake na malayaa sasa na wewe unakaumalaya ndanii jaribuni kukaa mkubalianee tuu. We ulishaamua kumgharamia kila kituu kwan ungesema unalea mwanao tuu sasa na beki wakumkabia umemuwekea, kodi unamlipiaa kwanini asikudharau?

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: B40
Mkuu hataki kunipa mtoto anasema nikimuacha sina changu

Kwahiyoo bado mnaish wote? Ujue usituleteee urongo hapaaaaeeee?
 
Nilifanya kwa nia njema kudhan labda ataniheshimu

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
 
Kama uliyoyaeleza ndivyo yalivyo, basi hakuna sheria, taasisi wala NGO yoyote inayoweza kukuzuia kuchukua mwanao(endapo hukubambikwa). Fuata tu taratibu zote, uachane na huyo MWANA KUYATAKA, MWANA KUYAPATA.
 
  • Thanks
Reactions: B40
Mkuu hataki kunipa mtoto anasema nikimuacha sina changu

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
Kwahiyoo bado mnaish wote? Ujue usituleteee urongo hapaaaaeeee?
 
Kwahiyoo bado mnaish wote? Ujue usituleteee urongo hapaaaaeeee?
Mkuu nimepanga sehemu ingine umbali Wa dakika 10 pia huwa nakula hapo ili kupunguza gharama Ila silali hapo

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ukiona chozi la mwanaume ujue yamenikuta maana mengine nimemezea

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
Pole sana mkuu ukiweza mchukue mwanao yeye mwache aendelee namaisha yake

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: B40
ndege wafananao hutembea pamoja.... hukupaswa kumwita mzazi mwenzio "MALAYA",umejiumbia gadhabu mwenyewe....umalaya wa mwanamke husababishwa na wanaume.....so uliamua kuishi na malaya mwenzio......toka lini malaya akawa na mda na mtoto......mwezio kuzurura wewe umemtafutia hg......una hakika gani mtoto ni wako???....kama ulijua ni makahaba mmekutana kinga hamkujua zinapatikana wapi?,,,, unalilia lia kishori hapa eti matumizi yote nampa,,,, mamako mara ya mwisho kumnunulia hata upande wa khanga ni lini.????....kuwa mwanaume bro.....tulia tafakari umetoka wapi na unataka kuwa wapi.........kabla hujabwatuka fanya uchunguzi wa kisayansi ujiridhishe huyo ni mwanao....then njoo hapa jf upewe mbinu za kiume zilizokomaaaa....pole sana B40...
 
Itabidi nifanye mpango Wa kuoa kwanza

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu;
Tafuta ushauri kwa mbunge mmoja waCDM anayeitwa Sugu-rais wa Mbeya mjini. Atakupa mbinu kwani kesi yako na yeye yalimpata lakini mwisho mtoto akawa wa kwake kabla ya miaka 18. Tens mtoto wa kike. Usiogope Sugu ni kipenzi cha watuatakupa ushauri murua
 
Habari wakuu
Kuna dada mmoja nilikuwa naishi nae kama mwaka bila kufunga ndoa Yale mapenzi ya sogea tuishi.

Kwa bahati nzuri akapata mimba na kujifungua mtoto ingawa kiukweli mimi sikuwa na nia ya kuishi nae baada ya kuwa tabia zake ni za ovyo sana.

Siku moja nilikuta mazungumzo ya kurekodiwa ya kimapenzi kati yake na mwanaume ktk simu yake.Pia niliwahi kumsikia akiongea na hawara yake ktk simu.

Baada ya mambo kuwa hivyo nikaacha kila kitu na kuamua kupanga sehemu nyingine ila bado nahudumia kila kitu kuanzia chakula, nalipa kodi na mahitaji mengine ya mtoto.Ili mtoto asipate shida nimeajiri house girl baada ya yeye kuwa anazurura

Nina miaka 2 sasa sifanyi nae mapenzi na yeye huondoka na kurudi muda anaotaka.

Siku nyingine mfano leo analala huko huko anarudi asubuhi.

Kinachoniuma ni mimi kumlipia kodi kumlisha na bado dharau hizi anazoonyesha.Anasema mtoto atamgawa na kumpa mwanaume mwingine na mimi sipendi mwanangu apate shida.

Yeye hawezi tunza mtoto maana hata familia yao ni Malaya tupu.

Wakuu nishaurini namna ya kumuokoa mtoto na mimi kuishi kwa furaha
Ama kweli Wewe ni zaidi ya Suleiman Bungala.

Sasa maana hata wahenga walishapata kusema ukicheka na nyani utavuna....

Malizia kuvuna mabua yako tu

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: B40
ndege wafananao hutembea pamoja.... hukupaswa kumwita mzazi mwenzio "MALAYA",umejiumbia gadhabu mwenyewe....umalaya wa mwanamke husababishwa na wanaume.....so uliamua kuishi na malaya mwenzio......toka lini malaya akawa na mda na mtoto......mwezio kuzurura wewe umemtafutia hg......una hakika gani mtoto ni wako???....kama ulijua ni makahaba mmekutana kinga hamkujua zinapatikana wapi?,,,, unalilia lia kishori hapa eti matumizi yote nampa,,,, mamako mara ya mwisho kumnunulia hata upande wa khanga ni lini.????....kuwa mwanaume bro.....tulia tafakari umetoka wapi na unataka kuwa wapi.........kabla hujabwatuka fanya uchunguzi wa kisayansi ujiridhishe huyo ni mwanao....then njoo hapa jf upewe mbinu za kiume zilizokomaaaa....pole sana B40...
Mkuu
Nosspass mtoto ni wangu ana miaka 2 sasa,ukimuona huulizi
Nipe tu hizo mbinu

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
 
Kama ana uwezo wa kumpa mwanaume mwengne mwanao means ana uwezo wa kukurudishia mwanao hata wewe,
Chukua dada wa kaz na mwanao watunze mwenyewe ila chonde chonde huyo house girl usje kumfanya mkeo tena.

Kwi kwi kwii. Bonny mi hoi na hiyo mistari mitatu yako hapo chini lo.

Ila aisee vipo vya kukosea ila sio kwa upande huu.
 
Back
Top Bottom