Ushauri wenu wa kozi nzuri kwa aliyesoma arts

Ushauri wenu wa kozi nzuri kwa aliyesoma arts

sio ukilaza bwanah mkubwa ..kwan kakosea nn hapo..mbna hatoi fact bali mnaponda...kuweni kama wasomi bwanah...vijna mnalala hvo bwanah...sio ujanja huo rafiki
Embu rudua kuandika nisome maana tyiping errors ni nyingi hata sikuelewi ww product ya mlugo
 
Kwa uandishi wako, kozi ya catering and decoration ingekufaa zaidi...

dah angeandika mwanamke ungeelewa ila mwanaume mwenzio hujaelewa..sawa mkuu umeshinda ndugu
Mwanamke huwa haitaji maneno mengi kueleweka. Hata akirembua tu macho au aking'ata kucha, tayari kaeleweka. Ila kwa mtoto wa kiume inabidi ukaze maneno na unyooshe lugha...
 
kwan kakosea n hapo mkuu..mbna unataka kutafta mada mpya tu bure ...sio ishu hizooo...hamna alichokosea hapo..unataka jibu hutaki acha...hata kama bando umenunua mwenywe bwanh
sio ukilaza bwanah mkubwa ..kwan kakosea nn hapo..mbna hatoi fact bali mnaponda...kuweni kama wasomi bwanah...vijna mnalala hvo bwanah...sio ujanja huo rafiki
kasome chchte ulichokuwa unapenda ..unajua muda huu nchi yet na mataifa mengi mambo ya uchumi hayajakaa sawa kabsa kwahyo unaweza ukasoma hili kesho ukajiona fala au ukasoma hiki kesho ukawa mjanja kwahyo...its matter of chances na bahati pia ila huwezi tabiri nn kitatokea kesho..go to the area of interest brother

Huwezi kuona alichokosea kama na wewe ni wale wale.
 
Nyie ndio wale ambao mnashikishwaga ukuta alafu mnawalipa waliowashikisha....shenz wewe, grow up
 
Mbona hueleweki!!!! Uxhaul ndiyo nini?

Mkuu mimi naona JF imevamiwa na mchwa.. yaani kuandika kistaarabu anashindwa mpaka analeta lugha za kihuni huni umu....... Kazi ipo kwa kweli dooh
 
Yaani mimi kwenye heading nikatoka kapa... Kuja ndani ndo afadhali kidogo
 
Kuna haja ya kukagua na wanachama wa JF manake naona wengine ni hewa kabisa... tunaweza tukapatamo na wanachama feki wenye umri feki wanaopost nyuzi feki.... nakadhalika nakadhalika....
 
duu yamekua ayo y yo hv always clesed minded
Na unajinadi kabisa umemaliza advance, kwa uandishi huo? Hovyo kabisa!yani siku hizi watu mnasoma tu ili mmalize na kupewa vyeti, lakini hata mnachokisoma hamkijui.
 
Wee mbna hujui kuandika unadhan unachat na hawala zako humu, hebu rudi huko facebook haraka,
 
Back
Top Bottom