Ushauri wenu tafadhali

Unadhani marriage befire sex ndio inafanya ndoa tamu? Ila kama inakupa furaha wewe sawa, ila sio guarantee ya furaha ya ndoa

I didn't mean that, virgin nemsema kwa kuwa sijawahi kuwa na mahusiano yyte, its my first time and my planning is to have a marriage before sex, your advise plz
 
thanks, ukiangalia kwa makini nimejaribu kujibue almost msgs
 
Tatizo lako ni utoto mwingi
Sasa ukikasirika kimya kimya mtu atajuaje?

Mmh, ngoja nisepe tu

Asante madam, hua sipretend nikikasirika, anajua kabisa nimekesirika na anaomba msamaha, ila mimi nashindwa kuwa na moyo wa kusamehe haraka na kusahau, sas hiyo hali inatukosesha amani kila mara, wakati akinikosea siwezi kumwambia hapa umenikwaza nabak nikiumia tu moyoni, hii hali inanitesa sana
 
I didn't mean that, virgin nemsema kwa kuwa sijawahi kuwa na mahusiano yyte, its my first time and my planning is to have a marriage before sex, your advise plz
sasa si ungesema tu hujawahi kua na mahusiano?
Au unatangaza biashara ya machenza hapa?
cc: King'asti
 
Last edited by a moderator:
Hebu kaitoe hiyo bikira hata kwa kisu
Inakudumaza akili, mama mzima unabehave like 13?
Miaka 27 ni mtu unafaa hata kuwa kiognozi wa nchi wewe unashikilia bikra mbele kama ngao ya taifa?

Kwa ufupi, wala humkosei huyo bf wako, ni yeye anakukosea, afu ukianza kulalamika ana-play victim, na kwa sababu hujielewi unadhani unamkosea.

Grow up Woman!

Thanks fro ur advise Kongosho, ndo maana naomba ushauri, I know nothing in this sector bse its my first r/ship. Meanwhile I planned to have sex after marriage.
 
Mimi ni msichana wa miaka 27, sijawahi kushiriki tendo la ndoa maisha yangu( am a virgin), sasa nimeanza mahusiano ya mapenz na tunapendana sana na mwenzangu. Tatizo sijui nina nini maana mara nyingi tukitofautiana mwisho mimi ndo naonekana nina makosa, naumia sana ninavymkosea kila mara na kwa upendo wake wa dhati ananisamehe, naombeni ushauri wenu nahisi kama kuna uwalakini kwenye haya mahusiano, may be ikitokea amekosea nifanyeje nisikasirike maan nina hasira sana.

Wewe subiria hiyo bikra izeeke. Itakusumbua sana, kuna uwezekano mkubwa igome kutoka. Na hata ikitoka inaweza kutoka na mizizi.

Wenzako wanaitoa ikiwa changa.
 
Ha ha ha ha, hii sayansi ya wapi?

Mizizi ya bikira ikoje hiyo?

Wewe subiria hiyo bikra izeeke. Itakusumbua sana, kuna uwezekano mkubwa igome kutoka. Na hata ikitoka inaweza kutoka na mizizi.

Wenzako wanaitoa ikiwa changa.
 
Wewe subiria hiyo bikra izeeke. Itakusumbua sana, kuna uwezekano mkubwa igome kutoka. Na hata ikitoka inaweza kutoka na mizizi.

Wenzako wanaitoa ikiwa changa.
Mzee POKEA ZAWADI KWA KUNITENGENEZEA SIKU YANGU

Money.jpg
 
Last edited by a moderator:
Mruhusu aitoe hiyo bikra. Mapenzi yenu yatakuwa ya Amani.

Mwanamke kabla hujamgonga anasumbua sana.

mbona unaniogopesha mzee, is it true kwamba inaweza ikaja kugoma kutoka? AU ni utani mzee, plz be serious.
 
tea%20kettle.jpg

Birika mweee, watu wanajivunia kuwa nalo. Ni muda mrefu umepita sijawahi kumwona mwenye nalo. hahahahahaaaaa!
 
Mimi ni msichana wa miaka 27, sijawahi kushiriki tendo la ndoa maisha yangu( am a virgin), sasa nimeanza mahusiano ya mapenz na tunapendana sana na mwenzangu. Tatizo sijui nina nini maana mara nyingi tukitofautiana mwisho mimi ndo naonekana nina makosa, naumia sana ninavymkosea kila mara na kwa upendo wake wa dhati ananisamehe, naombeni ushauri wenu nahisi kama kuna uwalakini kwenye haya mahusiano, may be ikitokea amekosea nifanyeje nisikasirike maan nina hasira sana.

Tatizo utoto unakusumbua, ukikua utaacha.
 
Hiyo bikra yako unayoisema ni ile ya kweli kweli au ni hzi znazouzwa madukani?
 
but uchumba tu mnatofautiana mara kwa mara hivyo, mbona mimi napata maswali mengi saaaaaaaaaaaaaaaaaaaana!na kwenye ndoa utafanyaje? ila mimi najua kuwa hasira ni curable problem, na mara zote hasira, ni hasara kwa unayekasirika, siyo unayemkasirikia, Think of changing!
Asante madam, hua sipretend nikikasirika, anajua kabisa nimekesirika na anaomba msamaha, ila mimi nashindwa kuwa na moyo wa kusamehe haraka na kusahau, sas hiyo hali inatukosesha amani kila mara, wakati akinikosea siwezi kumwambia hapa umenikwaza nabak nikiumia tu moyoni, hii hali inanitesa sana
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom