Ushauri wenu tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wenu tafadhali

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by LAKI, Jun 13, 2013.

 1. L

  LAKI Member

  #1
  Jun 13, 2013
  Joined: Jun 12, 2013
  Messages: 95
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Mimi ni msichana wa miaka 27, sijawahi kushiriki tendo la ndoa maisha yangu( am a virgin), sasa nimeanza mahusiano ya mapenz na tunapendana sana na mwenzangu. Tatizo sijui nina nini maana mara nyingi tukitofautiana mwisho mimi ndo naonekana nina makosa, naumia sana ninavymkosea kila mara na kwa upendo wake wa dhati ananisamehe, naombeni ushauri wenu nahisi kama kuna uwalakini kwenye haya mahusiano, may be ikitokea amekosea nifanyeje nisikasirike maan nina hasira sana.
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2013
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Ukikasirika usifiche hisia zake ....ukijificha utakuwa mtumwa wa mapenzi na hatokuheshimu
   
 3. amu

  amu JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2013
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 7,973
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  mmmmmmh
  we lazima utakuwa unatumia ile philosophy kill the driver save the engine
  au mbuzi amehusika hapo.
  Maana juzi tulikuwa na kikao kaka yangu demu wake kaolewa zenji bikra sasa tukamuuliza vipi bro wewe cyo ridhiki haiwezekani awe anashinda kwako more than week rum aolewe bikra.
  Ufukunyuku bibie anti yake kamuwekea ya mbuzi.
  HII NI KARNE YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA
   
 4. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2013
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 788
  Trophy Points: 280
  Sijaona uhusiano wa bikira na kugombana na mpenzi wako.
  Lakini ukishakuwa na miaka zaidi ya 18 wewe ni mwanamke uwe na bikira au usiwe nayo. usichana ni kutokomaa na kujitambua of which who knows labda unafit hivyo vigezo. Mimi nikiitwa msichana naona kama ni tusi na sio sifa.

  pamoja na yote hongera kwa kutunza hiyo bikira yako, natumaini utaendelea kuitunza mpaka siku ya ndoa; subiri PM za kutosha humu now that they know you are a virgin na mpenzi wako mnagombana. Good luck in picking, huenda ukapata wa maana.
   
 5. amu

  amu JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2013
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 7,973
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  like like
  am using mobile version pokea hizo
   
 6. L

  LAKI Member

  #6
  Jun 13, 2013
  Joined: Jun 12, 2013
  Messages: 95
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Asante madam, hua sipretend nikikasirika, anajua kabisa nimekesirika na anaomba msamaha, ila mimi nashindwa kuwa na moyo wa kusamehe haraka na kusahau, sas hiyo hali inatukosesha amani kila mara, wakati akinikosea siwezi kumwambia hapa umenikwaza nabak nikiumia tu moyoni, hii hali inanitesa sana
   
 7. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2013
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,523
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Sioni uhusiano wa bikra yako na mahusiano yako,hujatuambia huwa mnatofautiana nini na huwa unakosea nini,hebu funguka usaidiwe ushauri.
  Du!Sikuwa najua mpaka sasa bikra ni sifa siku hizi Tanzania,nimezoea kuona jambo hili Swaziland kwa Mswati.
   
 8. Himidini

  Himidini JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2013
  Joined: May 8, 2013
  Messages: 5,570
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 145
  ^^
  Labda hamjaendana.
  Kuna ambao sio bikra na wanaonekana na makosa pia.
  Kuna wenye zaidi ya 27 hawana bikra lakini wana uhusiano mzuri.
  Kwa hiyo tulia tu hakuna kukosa makosa ktk mahusiano.
  ^^
   
 9. L

  LAKI Member

  #9
  Jun 13, 2013
  Joined: Jun 12, 2013
  Messages: 95
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Thanks but what am saying is really true, I was very very busy with my studies and now I decided to start a r/ship,
   
 10. M

  MUYOOL JF-Expert Member

  #10
  Jun 13, 2013
  Joined: Nov 7, 2012
  Messages: 554
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kwanza hongera sana kwa kutunza ubikira wako maana wasichana wengi wa siku hizi wanaruhusu kuondolewa bikira zao kabla ya ndoa jambo ambalo liko kinyume na maandiko matakatifu.Pili hakikisha mtu asikuguse mpaka utakapofunga ndoa maana mwanaume yoyote atakayevumilia atapokukuta na ubikira wako atafurahi kukuvumilia hivyo una haki ya kuwaambia wasubiri maana ubikira unao.Endelea kumuomba Mungu kama kweli huyo uliye naye sasa ndiyo mume atakuonyesha wala usilazimishe mambo Mungu ndiye atakayekuletea mume bora.Akitaka kuonja kabla ya ndoa piga chini kwani atakuwa hakufai wa kufanana na wewe atakuja.
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Jun 13, 2013
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,759
  Likes Received: 16,364
  Trophy Points: 280
  LAKI si pesa, hasira zako zinasababishwa na lundo la ukame ulilojilimbikizia.
  Hebu mpe mamboz utaona hasira zikiyeyuka
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. L

  LAKI Member

  #12
  Jun 13, 2013
  Joined: Jun 12, 2013
  Messages: 95
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  No, laki sio hela ni jina tu. Sipo tayar kufanya mambos kabla ya ndoa kwani nimejodhatiti kweli na namshukuru Mungu nimejitunza mpaka hapa nilipo. naomba ushauri mwingine tafadhal. thanks
   
 13. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #13
  Jun 13, 2013
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kwanini ulianza kwa kusema you are a virgin?
  unahisi wewe kua virgin ndio chanzo cha matatizo?
   
 14. L

  LAKI Member

  #14
  Jun 13, 2013
  Joined: Jun 12, 2013
  Messages: 95
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Asante sana kwa ushauri wako ntaufanyia kazi, nazidi kumwomba Mungu maana ndo nmeanza mahusiano hivyo ni mgeni kabsa kweny hii sector.
   
 15. Ushimen

  Ushimen JF-Expert Member

  #15
  Jun 13, 2013
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 12,861
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  pamoja na yote hongera kwa kutunza hiyo bikira yako, natumaini utaendelea kuitunza mpaka siku ya ndoa; subiri PM za kutosha humu now that they know you are a virgin na mpenzi wako mnagombana. Good luck in picking, huenda ukapata wa maana.[/QUOTE]

  Nimefurahishwa na kipengele hiki cha mwisho
   
 16. saudari

  saudari JF-Expert Member

  #16
  Jun 13, 2013
  Joined: Dec 26, 2012
  Messages: 2,661
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Kwahio hao wote waliokupa ushauri hujawaona au ni kukimbia maswali mengine?

  Elezea uhusiano wa hii mada yako na bikira yako.
   
 17. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #17
  Jun 13, 2013
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,133
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  Labda bikira ya Kabaang
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. L

  LAKI Member

  #18
  Jun 13, 2013
  Joined: Jun 12, 2013
  Messages: 95
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  I didn't mean that, virgin nemsema kwa kuwa sijawahi kuwa na mahusiano yyte, its my first time and my planning is to have a marriage before sex, your advise plz
   
 19. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #19
  Jun 13, 2013
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,128
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 160
  Hebu kaitoe hiyo bikira hata kwa kisu
  Inakudumaza akili, mama mzima unabehave like 13?
  Miaka 27 ni mtu unafaa hata kuwa kiognozi wa nchi wewe unashikilia bikra mbele kama ngao ya taifa?

  Kwa ufupi, wala humkosei huyo bf wako, ni yeye anakukosea, afu ukianza kulalamika ana-play victim, na kwa sababu hujielewi unadhani unamkosea.

  Grow up Woman!
   
 20. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #20
  Jun 13, 2013
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,843
  Likes Received: 2,808
  Trophy Points: 280
  Mruhusu aitoe hiyo bikra. Mapenzi yenu yatakuwa ya Amani.


  Mwanamke kabla hujamgonga anasumbua sana.
   
Loading...