Mkuu baki njia kuu mm huwa nashauri watu kubaki hapo ,kichaka kipya hata simba huwa wanawaza Sana kabla ya kuingiaHabari za humu wanajamii,hapa nipo njia panda kidogo kuhusu suala hili la kazi.
Nimuhitimu wa kozi ya uhandisi wa umeme katika chuo kimoja hapa nchini,mnamo mwaka 2018 nilimaliza degree yangu sikukaa sana mtaani nilimaliza tu mwezi wa nane then mwezi wa kumi nikawa nimepata sehemu kampuni inayoanza ambayo nafanya hadi sasa.
Pale katika kampuni ile huwa nafanya shughuli ndogo ndogo ambazo kwa kweli na zimudu na kiwango cha Mashara pale ni kama 1M hivi ukiondoa makato sasa kuna siku mmoja ya rafiki yangu akaniambia nitume cv kwenye kampuni nyingine ambayo kidogo wapo vizuri hata mshahara ni mzuri kuliko hapa, basi nikatuma cv na nikaitwa kwenye interview ya vitendo ambayo najua naweza pita.
Hofu yangu ni kwamba at some point najua uwezo wangu ni mdogo kiasi na ninajijua in case ikatokea nimepata pale halafu nikashindwa kutimiza expectations zao si nitakuwa nimepoteza kote?
Ukiangalia kule kazi ni ndogo ndogo ambazo ninazimudu halafu kule ni more advanced company.
Sawa ila mm machare unajua machare unaweza kukucheza hata kwa ishu ya mtu mwingineMkuu, I feel your pain.
Ukipata we nenda tu. Sema cha kwanza pambania mkataba ndio utakao kuokoa. Asilimia kubwaya wafanyakazi, wamejifunzia izo kazi makazini sio mambo waliyoyasoma vyuoni.
Nikikuambia kozi niliosoma na kazi ninayofanya, aisee, vimepishana kabisa lakini nimeijua kazi sahivi nafanya, bora liende kudadeki.
Kwahiyo mzee, kama hiyo sehemu uliofanya interview mshahara ni mkubwa na worthy it, nenda tu. Sema ondoka kwa amani hapo ulipo, usiogope ku-take rist utakuja kujuta baadae.
NB: Sema ungefanya homework ya kujua mission na vission za hiyo kampuni mpya, na kujua zile general responsibilities na duties za hiyo position yako, na uanze kusoma soma atleast uwe na ABC.
Mkuu baki njia kuu mm huwa nashauri watu kubaki hapo ,kichaka kipya hata simba huwa wanawaza Sana kabla ya kuingia
Unaweza ukakuta Kuna mijamaa inaroho mbaya ukashindwa na kurudi kule ushindwe ,usiharibu maisha yako kwa tamaaHabari za humu wanajamii,hapa nipo njia panda kidogo kuhusu suala hili la kazi.
Nimuhitimu wa kozi ya uhandisi wa umeme katika chuo kimoja hapa nchini,mnamo mwaka 2018 nilimaliza degree yangu sikukaa sana mtaani nilimaliza tu mwezi wa nane then mwezi wa kumi nikawa nimepata sehemu kampuni inayoanza ambayo nafanya hadi sasa.
Pale katika kampuni ile huwa nafanya shughuli ndogo ndogo ambazo kwa kweli na zimudu na kiwango cha Mashara pale ni kama 1M hivi ukiondoa makato sasa kuna siku mmoja ya rafiki yangu akaniambia nitume cv kwenye kampuni nyingine ambayo kidogo wapo vizuri hata mshahara ni mzuri kuliko hapa, basi nikatuma cv na nikaitwa kwenye interview ya vitendo ambayo najua naweza pita.
Hofu yangu ni kwamba at some point najua uwezo wangu ni mdogo kiasi na ninajijua in case ikatokea nimepata pale halafu nikashindwa kutimiza expectations zao si nitakuwa nimepoteza kote?
Ukiangalia kule kazi ni ndogo ndogo ambazo ninazimudu halafu kule ni more advanced compa
USSR
Mkuu, I feel your pain.
Ukipata we nenda tu. Sema cha kwanza pambania mkataba ndio utakao kuokoa. Asilimia kubwaya wafanyakazi, wamejifunzia izo kazi makazini sio mambo waliyoyasoma vyuoni.
Nikikuambia kozi niliosoma na kazi ninayofanya, aisee, vimepishana kabisa lakini nimeijua kazi sahivi nafanya, bora liende kudadeki.
Kwahiyo mzee, kama hiyo sehemu uliofanya interview mshahara ni mkubwa na worthy it, nenda tu. Sema ondoka kwa amani hapo ulipo, usiogope ku-take rist utakuja kujuta baadae.
NB: Sema ungefanya homework ya kujua mission na vission za hiyo kampuni mpya, na kujua zile general responsibilities na duties za hiyo position yako, na uanze kusoma soma atleast uwe na ABC.
Habari za humu wanajamii,hapa nipo njia panda kidogo kuhusu suala hili la kazi.
Nimuhitimu wa kozi ya uhandisi wa umeme katika chuo kimoja hapa nchini,mnamo mwaka 2018 nilimaliza degree yangu sikukaa sana mtaani nilimaliza tu mwezi wa nane then mwezi wa kumi nikawa nimepata sehemu kampuni inayoanza ambayo nafanya hadi sasa.
Pale katika kampuni ile huwa nafanya shughuli ndogo ndogo ambazo kwa kweli na zimudu na kiwango cha Mashara pale ni kama 1M hivi ukiondoa makato sasa kuna siku mmoja ya rafiki yangu akaniambia nitume cv kwenye kampuni nyingine ambayo kidogo wapo vizuri hata mshahara ni mzuri kuliko hapa, basi nikatuma cv na nikaitwa kwenye interview ya vitendo ambayo najua naweza pita.
Hofu yangu ni kwamba at some point najua uwezo wangu ni mdogo kiasi na ninajijua in case ikatokea nimepata pale halafu nikashindwa kutimiza expectations zao si nitakuwa nimepoteza kote?
Ukiangalia kule kazi ni ndogo ndogo ambazo ninazimudu halafu kule ni more advanced company.
Kanuni ya Kufanikiwa ni Moja Tuu Kujaribu Bila Hofu...!! Unapopewa nafasi ya Kufanya makubwa na Hujui jinsi ya Kufanya Kubali Kisha jifunze Namna ya KufanyaHabari za humu wanajamii,hapa nipo njia panda kidogo kuhusu suala hili la kazi.