Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,977
- 54,107
Kinachokufanya utumie pesa nyingi ni vile unataka u maintain status yako ulivyozoeleka, chakufanya badili sehemu ya starehe ulipozoea kwenda. Nenda eneo jipya na acha kununulia pombe watu kwa kutaka wawe washikaji, utajikuta 30,000/= haiishi