ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 23,717
- 57,245
Za kusikia na KUAMBIWA CHANGANYA na zakoNje kidogo ya mada, mleta mada kwanza Hongera umri mdogo lakini mafanikio sio madogo
Za kusikia na KUAMBIWA CHANGANYA na zakoNje kidogo ya mada, mleta mada kwanza Hongera umri mdogo lakini mafanikio sio madogo
Laki kwenye mitungi ni pesa ndogo sana...labda uwe unakunywa bia za bukubuku na huna hata malaya wa kwenda "kumkanyaga" ukishalewaHizo pombe za laki kwa siku mnakunywaje jamani?
Mbona me nikienda sehemu nakunywa 3-4 naondoka
Linakuwa ni group la watu kama wanne watano hivi halafu yeye ndiyo kibopaHizo pombe za laki kwa siku mnakunywaje jamani?
Mbona me nikienda sehemu nakunywa 3-4 naondoka
Pombe inaachika kwa urahisi sana bila kwenda kwenye maombi wala doctors.Asante mkuu nimekuelewa
Asante nitajaribuPombe inaachika kwa urahisi sana bila kwenda kwenye maombi wala doctors.
Tumia muda wako mwingi kukaa nyumbani na kufanya vitu vingine mfano kuangalia TV na kusoma vitabu nk
Kaa peke yako na epuka makundi haswa ya wanywa pombe.
Usikae bar kwa vyovyote vile hata ukikaa kaa mwenyewe
Ushauri huu umewasaidia wengi
Na Mimi nilitaka kuandika hivihivi ...Hakuna msaada wowote unaohitaji.
Kimsingi unaishi maisha uliyoyachagua. Siku ukiamua utaacha. Kwa sasa endelea kula gambe!
Duh nilidhani uko mkoa jirani na mimiMorogoro