Mbavu za Mbwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 303
- 154
Asante sana mkuu camber.Tafuta Toyota verossa, hakikisha CIF haizidi 6m. Be forward wako cheap ( according to my opinion)
Sawa kiongozi. NitakuchekiCarina TI ni nzuri hata unywaji wake wa mafuta si mbaya,ukitaka namna ya kuagiza ni PM nikupe maelekezo mkuu ya ushuru na bei ya kununulia kule na usafiri na sbt wako vizuri nimeshawahi kufanya nao biashara
Ni thamani ya gari kwa tra regardless umenunua bei gani.Kuna kitu sijaielewa kwenye TRA calculator. Sehemu ya customs value CIF. Ni garama ya nini?
Usikute tatizo ni ID yako ebu jaribu kuibadili....matapeli watakuja pm jihadhari mkuuWakuu mmeipotezea sana thread yangu. Au haieleweki? Au saumu kali sana?
Serious, ninahitaji ushauri wenu
Sio wote mkuu Nakubali kuwa kuna watu hawapend kutoa michango yao hadharani. Sio vema kwani mchango wao waeza kuwa suluhisho kwa wengine wengi pia.Watake radhi watu,
Sio wote waendao 'pm' ni matapeli.
Verosa inatumia mafuta mengiAsante sana mkuu camber.
Kama kweli unafanya biashara hiyo weka peupe mawasiliano yako ili nasi wengine tukutafute!Habari,
Jana usiku niliona thread yako , lakini nikawa nimetoka online, kurejea sijuiona tena.
Nimeitafuta mno, but sikuiona, nafurahi saa hii nimeiona !!
Mimi ni muingizaji na muuzaji wa magari kutokea japan, U.k na south africa. Hua ninachukulia sokoni moja kwa moja, gari ambazo ni first grade!
Ndio, kwa offer hio ninaweza kukupatia gari, kama upo serious, tuwasiliane pm
Please, fuatilia post zangu, kila moja ina mawasiliano yangu!Kama kweli unafanya biashara hiyo weka peupe mawasiliano yako ili nasi wengine tukutafute!
Sawa sawa, ninekuelewa aisee!Sio wote mkuu Nakubali kuwa kuna watu hawapend kutoa michango yao hadharani. Sio vema kwani mchango wao waeza kuwa suluhisho kwa wengine wengi pia.
Sio wote waendao pm ni matapeli ila kwenye mambo ya biashara mara nyingi watu wengi wanatapeliwa PM.
Pm conversions are one against one however when done in the forum become many to many business, discussion, advice, opinions, assistance ....which reduce the chance to client from becoming the victim.
Sent from my L3 using JamiiForums mobile app