mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 9,909
- 13,288
Haraka sana eti????Ushauru wangu
Fanya kazi hapo private lkn fungua biashara yako binafsi haraka sana.






Miezi sita 1.5 mil kama una familia sio hela ya kudhani itabadilisha maisha yako mzee yani na vile private wanakuwa busy na kazii utajikutaa unamaliza miezi sita huna hata mia na Omba sana wakuongeze mkatabaa..Best comment ever, Kuna wengine wanakushauri uendelee hapo wakati wao Ni watumishi wa serikali na hawataki kuachia nafasi, mkuu nenda serikalini hizo private company unafanya mwez mmoja unatukuzwa au kampun inafilisika naww ndo serikalin huwei Tena ingia kwa sabab ulishachaguliwa uka kataa nafasi.Piga chini hiyo kazi ya binafsi ,nenda serikalin karipoti Fanya kazi mwaka mmoja ingia benki chukua mkopo wekeza kwenye unachoona kitakufaaa .kazi za private zina stress sanaaa inaweza isha kesho na pia unatumika sanaa.
serikalin raha yake kama una akili mda upo wa kufanya mambo yako tena kazi yenyewe ualimu ni rahisi sanaa unashika somo lako unafundisha miaka yote hilo hilo inafika mda unakuwa kama unaimba pambiao tu maana hutumii nguvu kufundisha ,kutunga mitihan na kujua vijana wako ufanye vipi wafaulu
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Lakini mtoa mada amesema kuna option ya kuongeza mkatabaHaraka sana eti????Miezi sita 1.5 mil kama una familia sio hela ya kudhani itabadilisha maisha yako mzee yani na vile private wanakuwa busy na kazii utajikutaa unamaliza miezi sita huna hata mia na Omba sana wakuongeze mkatabaa..
Maisha yana mengi anaweza pia kufa kabla ya kupokea kiinua mgongo.Ukiona kitu hakina changamoto ujue hakilipi... Ualimu ni kazi ya kimaskini na ya kinyonge nenda kawe mhasibu experience tu ya mwaka mmoja ya uhasibu ni mtaji kuliko kiinua mgongo cha mwalimu. Kama ukienda kwenye ualimu kubali utaiona hela ya maana siku ya kupokea kiinua mgongo.
Mkuu fanya hivi nenda kwenye ualimu serikalini kaa mwaka mmoja ukisha thibitishwa kazini ka wilikilishe cheti chako cha uhasibu na uombe kubadilishwa muundo utafanyiwa re categorization kuwa mhasibu Kuna uhaba wa wahasibu kwny halmshauri nyingi achana na iyo kazi ya mtu binafsi job security ni 0Nimepata kazi ya "UALIMU" katika hizi ajira ambazo zimetoka juzi. Lakini wakati naomba hii ajira ya Ualimu sikuwa na kazi.
Ila katika kipindi hiki cha kusubiria ajira ya Ualimu nimepata kazi nyingine ya UHASIBU katika moja ya taasisi kubwa sana hapa Tz ya mtu binafsi ambayo pia ni fani yangu na mshahara wake ni 1.5mil.
Nimepewa mkataba wa miezi 6 kwa kuanzia then baadae nitapewa mwingine na mshahara utaongezeka baada ya Probation kuisha.
Je, niache hii kazi niende kufundisha au niendelee na kazi yangu hii ninayofaifanya?
Nisaidie ushauri wenu?
Yaan ijulikane kwamba kazi yangu sio ya leo wala kesho ni miaka na miaka nikiperfom vzr nitaedelea nayo mpaka hata nistaaf. Na walivyonichukua moja ya swali wameniambia hatutaki ambae tunamuajiei leo kesho anaondoka. Tunataka mtu wa kukaa mda mrefu. So ni mm tu.Lakini mtoa mada amesema kuna option ya kuongeza mkataba
Kaka hiyo 1.5 nimeanza nayo tu. Huko mbele mambo mazuri sana. Sio kwamba ni fixed salary. Noo baada ya probation nitapewa contract nyingine na salary nyingineHaraka sana eti????Miezi sita 1.5 mil kama una familia sio hela ya kudhani itabadilisha maisha yako mzee yani na vile private wanakuwa busy na kazii utajikutaa unamaliza miezi sita huna hata mia na Omba sana wakuongeze mkatabaa..
Sikushauri uende kwenye ualimu .Nina malengo makubwa sana na ninachotaka ni capital nifanye mambo yangu binafsi baadae kidogo



Kaka mm nipo single. Matumizi yangu hata hiyo 500k haiishi, sinywi pombe wala sina madem. Ila nendelea kupata shauri mbalimbali then before 14 days kuisha nitakuwa nimepata jawabu.Ingekuwa inawezekana mm kureplace nafasi yako ya ualimu bc ningekushauri uendelee na hiyo kazi ya uhasibu, nadhani umenielewa nini namanisha. 1.5m ni hela kubwa mkuu na nina uhakika kama umesota kitaa bc matumizi yako kwa mwez hayawez kuzidi 500k, kama ndiyo bc 1M weka bank itulie, mkataba ukikata kama hawatakuongezea bc 6M uliyoweka bank miezi 6 itakusaidia kibiashara na mambo mengne!